Mzee Reddington mjanja mjanja yule, kila kitu anakijua yeyeTHE BLACKLIST season 2:
huyu fala simuelewi na nukuu zake za kibabe,
- kwa makadirio huyu raymond reddington atakuwa na utajiri wa kiasi gani, si kwa mizunguko hii.....
- wahalifu mfano wa Reddington kwenye hii dunia yetu wapo?
mchumi yeye,
mwanafilosofi yeye,
daktari yeye,
mwanahistoria yeye
lobbyist yeye
hawa ndio majasusi bwanaa si Membe na wenzake
Hahahaha uzuri wa blacklist lazima uumize kichwa sasa hapo Ni trailer hujafika S06 huko ndo utazidi kuchanganyikiwa zaidi kumjua Reddington ni Nan?THE BLACKLIST season 2:
huyu fala simuelewi na nukuu zake za kibabe,
- kwa makadirio huyu raymond reddington atakuwa na utajiri wa kiasi gani, si kwa mizunguko hii.....
- wahalifu mfano wa Reddington kwenye hii dunia yetu wapo?
mchumi yeye,
mwanafilosofi yeye,
daktari yeye,
mwanahistoria yeye
lobbyist yeye
hawa ndio majasusi bwanaa si Membe na wenzake
huu mzigo ukiufanyia muunganisho wa moja kwa moja (season 1 to 7) unaweza kurudisha namba milembeHahahaha uzuri wa blacklist lazima uumize kichwa sasa hapo Ni trailer hujafika S06 huko ndo utazidi kuchanganyikiwa zaidi kumjua Reddington ni Nan?
Uyo hajui Kila kitu Ila ni mjanja anawatumia FBI ili kuwajua blacklisters wenzake ili kuongeza empire yake angekuwa anajua Kila kitu why amejikamatisha? Na huko mbele anakimbizwa na wajuaji wenzieMzee Reddington mjanja mjanja yule, kila kitu anakijua yeye
Sawasawa kabisa mzee babaFranklin Saint anakuambia.. "Step out if you can't handle it, step up if you're ready to fight for it"
Series kali sana hii, Frank ni zaidi ya genius, wakati akiwa mdogo CIA walim recruit then akazingua akarudi kitaa
😆😆😆😆 Kweli mzee nashukuru Mungu mi nilienda nao mwaka na mwakahuu mzigo ukiufanyia muunganisho wa moja kwa moja (season 1 to 7) unaweza kurudisha namba milembe
Aisee, ngoja nitaendelea nayo tena, niliishia njiani, baada ya kuona mzee mjanja mjanja sanaUyo hajui Kila kitu Ila ni mjanja anawatumia FBI ili kuwajua blacklisters wenzake ili kuongeza empire yake angekuwa anajua Kila kitu why amejikamatisha? Na huko mbele anakimbizwa na wajuaji wenzie
Anhaa! Poa poaAisee, ngoja nitaendelea nayo tena, niliishia njiani, baada ya kuona mzee mjanja mjanja sana
Ukiangalia hii series, kuna kipindi unaona kabsa biashara hii haramu ni hatari kaisi gani, Frank aliumaliza mtaa wake, watu wakawa mateja... Ila ndio hvyo dogo alikuwa ana roho ngumu sana linapokuja suala la masilahi, yupo ladhi kukupoteza hata mshikaji wake wa karbuSawasawa kabisa mzee baba
Yah! Na uzuri zote nimeona iyo Hanna Ni nzuri pia so hutojutaHapa tuko pamoja namalizia hiki kiporo nianze Hanna.
anajifanya simba aliyezeeka, anawapa mission FBI baadae mwisho wa game yeye ndiye mshindi.....Aisee, ngoja nitaendelea nayo tena, niliishia njiani, baada ya kuona mzee mjanja mjanja sana
Yeah! Mzee hii biashara ina hela Ila disadvantages yake ndo iyo.Ukiangalia hii series, kuna kipindi unaona kabsa biashara hii haramu ni hatari kaisi gani, Frank aliumaliza mtaa wake, watu wakawa mateja... Ila ndio hvyo dogo alikuwa ana roho ngumu sana linapokuja suala la masilahi, yupo ladhi kukupoteza hata mshikaji wake wa karbu
Mimi huyo demu wake ndio aliniuma zaidi mzee, mtoto alikuwa wa ukweli halaf anamuelewa kinoma Franklin..Yeah! Mzee hii biashara ina hela Ila disadvantages yake ndo iyo.
Kuna vitu viwili viliniuma aisee ni yule mwanae aliyekufa pale kwenye bustani wkti walipowekewa mtego na yule demu wake mtoto wa polisi aisee demu alibadilika na kupotea
huu mzigo ukiufanyia muunganisho wa moja kwa moja (season 1 to 7) unaweza kurudisha namba milembe


huu mzigo naupata wapi? nimeingia pale 1337.to season moja 6GB nikakata tamaaUkiangalia hii series, kuna kipindi unaona kabsa biashara hii haramu ni hatari kaisi gani, Frank aliumaliza mtaa wake, watu wakawa mateja... Ila ndio hvyo dogo alikuwa ana roho ngumu sana linapokuja suala la masilahi, yupo ladhi kukupoteza hata mshikaji wake wa karbu
Yeah! Mtoto alikua mkali yule hadi noma.Mimi huyo demu wake ndio aliniuma zaidi mzee, mtoto alikuwa wa ukweli halaf anamuelewa kinoma Franklin..
Yule mwanae alianza kuzingua ni bora walimpunguza mapema
Mwanae wa ukweli ni yule mwenye afro
Sana mzee, ilikuwa ni bora u mess up na Franklin ila sio huyo dogo mwenyewe afroYeah! Mtoto alikua mkali yule hadi noma.
Kuhusu yule mchizi wao Franklin hkutaka washkaji zake wafe bali wote watoboe sema tamaa tu jamaa ilimponza na Mimi nilikua napenda mbwembwe zake tu mule.
Yule mwenye Afro alichange na kua na roho mbaya balaa.


Yah! Na uzuri zote nimeona iyo Hanna Ni nzuri pia so hutojuta