Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Deep state nayo ipo poa
Wakubwa , natafuta series Kali ya maswala ya IT .Weka pembeni Silicon valley, Mr Robot, West world, IT crowd.
Mkuu nataka nishushe moja wapo kati ya hizi jackryan na blacklist ipi kali zaidi napenda actionsChief, mimi hiyo kitu ya Blacklist sichoki kuifuatilia kwasababu ya shauku ya kutaka kujua huyu Red ni nani haswa! Kuna wakati nilihisi Reddington ni Katarina Rostova, lakini nilivyoanza kuangalia season ya 7 nakuta Katarina yupo hai na anaishi Ufaransa basi nikaishiwa pozi kabisa. Ila nitaendelea kuifuatilia mpaka mwisho ili nione kama huyu mtu atakuja kujulikana ni nani, na sababu za yeye kuamua kuwa Reddington ni zipi, pia alikuwa na mahusiano gani na Reddington halisi. Kuna wakati pia najisemea kichwani, usikute huyu Reddington ni Reddington halisi ila Katarina Rostova ndiyo imposter, ila mfululizo wa matukio unaikataa hii nadharia yangu.
So far nipo nipo Season ya 7, episode ya kwanza, ngoja niendelee nayo.
Wanaongea lugha gani?Dah! Nilichopenda hii series kila season inayofuata inakua kali kuliko inayofuata sio kama designated Survivor season ya kwanza ni kali kuliko ya 2.
Kwa mfano hii Fauda s03 imefunika seasons za nyuma maana kuna mission moja ya kwenda Gaza ni balaa aisee na nimejua why Israel wanaiogopa Gaza
link pls chief
Ingobernable iko njema nimeshaiona na ninayo s02 tyri mkuu na uzuri wake huo series haikuonyeshi huyu mtu ni adui au mtu mwemaEmbu iangalie ingorbenable alafu unipe mrejesho
KiarabuWanaongea lugha gani?
Anza na Jack Ryan, coz ni fupi, ina season mbili tu. The Blacklist mpaka sasa ina season saba.Mkuu nataka nishushe moja wapo kati ya hizi jackryan na blacklist ipi kali zaidi napenda actions
Asante chief ngoja nitafute
Dark season 3 imetoka
Torrent link
Download Dark (2020) English S03 Complete 720p NF WEB-DL - 2.4 GB - DD- 5.1 MSub x264 - Shadow (BonsaiHD) Torrent | 1337x
Telegram link
Netflix Mania
1080p Zina mb nyingi Bora utumie torrent
Nimeshashusha season zote 3 Ila nasubiri nimalize The walking dead season 10
Baharia tupia link ya hii kitu asee.Ingobernable iko njema nimeshaiona na ninayo s02 tyri mkuu na uzuri wake huo series haikuonyeshi huyu mtu ni adui au mtu mwema
Mkuu.. Iangalie hiyo...mzigo umetuliaJamani kabla sijaishusha naombeni ushauri wenu Dark iko vizuri au niipotezee?
Mkuu...n tyler perry na sio katty perryWakuu naomba mnisaidie link ninwyoweza kudownload subtitle ya series ya katty perry sistas season 1.
Nimetafuta nimekosa.

