Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Torrent nyingi, ipo hivyo, jarbu kushusha episode moja moja kidogo huwa inapunguza ukubwa wa gbhuu mzigo naupata wapi? nimeingia pale 1337.to season moja 6GB nikakata tamaa
Tumia EZTV
Torrent nyingi, ipo hivyo, jarbu kushusha episode moja moja kidogo huwa inapunguza ukubwa wa gbhuu mzigo naupata wapi? nimeingia pale 1337.to season moja 6GB nikakata tamaa
Blindspot na Teen wolf hizii nishaachaga kufatiliaaa...Blindspot s05 ishakuwa ya kipuuzi.


The 100 ikafataa maana naona hazieleweki ni Utopolo tuu movie mtu anarudisha kumbukumbu mara zinapoteee mara zinarudii...
Imekuwa ya kipuuzi kweli yaani.Blindspot na Teen wolf hizii nishaachaga kufatiliaaa...The 100 ikafataa maana naona hazieleweki ni Utopolo tuu movie mtu anarudisha kumbukumbu mara zinapoteee mara zinarudii...
![]()
Vipi Jane karudisha kumbukumbu mkuu???Imekuwa ya kipuuzi kweli yaani.
Nilishia episode ya 3 (S05E03) ni kachana nayo.Vipi Jane karudisha kumbukumbu mkuu???
Mnamzungumzia Melody?!Mimi huyo demu wake ndio aliniuma zaidi mzee, mtoto alikuwa wa ukweli halaf anamuelewa kinoma Franklin..
Yule mwanae alianza kuzingua ni bora walimpunguza mapema
Mwanae wa ukweli ni yule mwenye afro

.Sijui aliekwambia alikuaminishaje.ila kama ni mtu wakupenda visa vya taratibu iko poa tu hasa season 3 naona imekaa poa zaidi.Daaah nimeingizwa chaka nikajikuta nashusha Ozark mzigo mzima! Meh nimejuta na nimefuta bila kumaliza! Kuna wana JF wana roho kama wajumbe!
Yes mkuu, huyu huyu aisee
Utakuwa unapenda series za action na za vurugu kama Banshee.. Ukikaa ukatulia Ozark ni mzigo mkali sanaDaaah nimeingizwa chaka nikajikuta nashusha Ozark mzigo mzima! Meh nimejuta na nimefuta bila kumaliza! Kuna wana JF wana roho kama wajumbe!
Ahahaaaaaah!THE BLACKLIST season 2:
huyu fala simuelewi na nukuu zake za kibabe,
- kwa makadirio huyu raymond reddington atakuwa na utajiri wa kiasi gani, si kwa mizunguko hii.....
- wahalifu mfano wa Reddington kwenye hii dunia yetu wapo?
mchumi yeye,
mwanafilosofi yeye,
daktari yeye,
mwanahistoria yeye
lobbyist yeye
hawa ndio majasusi bwanaa si Membe na wenzake
Yeah! Mzee nimeicheck mwanzo mpaka season ya mwisho kuitoa si mchezo humo bibi anaijenga empire yake ya wizi mwisho wa siku wanaanza kusalitianaSana mzee, ilikuwa ni bora u mess up na Franklin ila sio huyo dogo mwenyewe afro
Umeicheki Animal Kingdom?
Sasa akili za Franklin nazifananisha na za huyu dogo wa kwenye Animal Kingdom, yule Joshua J CodyYeah! Mzee nimeicheck mwanzo mpaka season ya mwisho kuitoa si mchezo humo bibi anaijenga empire yake ya wizi mwisho wa siku wanaanza kusalitiana
Ni mawazo yako na sikupingi Ila Hanna Ni nzuri na inaendelea na into the Badlands imesitishwa kwa kua na story ya kitoto na ndo maana China imebadilika asa hivi haitoi muvi za mapigano ovyo ovyo kama zamani.Napenda sana season za Action kama Into the badlands. Nimejaribu kuangalia Season kama ya Into the badlands nimekosa kabisa. Watu wamesifia Breaking Bad, 24, Hanna lakina hazijanivutia kabisa. Story nyingi kuliko ngumi. Banshee kidogo ila story nyingi pamoja na ngono.
Katika Season niliyoielewa mpaka keshokutwa ni INTO THE BADLANDS. Maneno mawili, ngumi zinaanza. Season zingine ni uharibifu wa bundle tu. Kama Hanna, Breaking Bad, 24, na Banshee kwangu ni uharibifu wa bundle tu.
Season gani yenye ngumi kama into the badlands?
Yeah mzee huyo mtoto yuko vzri yaani hapo ata kama unamwagia milkshake kwa ndani basi hadi moyo unaridhika 😆😆
Ukiachana na watoto wazuri aisee hii series ina story moja unique Sana yaani iyo iyo Riverdale ni kama kusema mbwinde ya marekani Kuna drama balaa yaani Kuna mda unabaki mdomo wazi kutokana na mwanzo unaona series imekaa kitoto Sana lkni unabaki unaumiza kichwa mzee kujua mwisho wake upoje, mim nimeangalia hadi season ya 3 Ila ya 4 nimeishusha bado sijaiona nimeweka pendingKuna series moja kali sana kwa wale wapenzi wa series za school life. Inaitwa RIVERDALE.
Humo ndani kuna Drama & Romance.
Kama tunavyojua wenzetu uzunguni huko huwa wanaanza kula life wakiwa sekondari tofauti na huku kwetu mpaka uingie chuo. Kwahiyo ma-party, mapenzi nini japo kwichi kwichi sio sana..
Nilichopendea mule wamepangilia visa vizuri sana na huwezi choka kuangalia.
Nakumbuka niliimaliza Season ya 1( Each episode takes 40 minutes) ndani ya siku moja yani sikutoka nje, ilikuwa ni mwendo wa Series/Toilet/Series/Msosi/Series/...
Chengine cha kuongezea, hawa jamaa wanaotengeneza hizi series huwa wanatupatia sana! Yani wanachagua mademu wakaliii ilimradi tu watupate wakina sisi.
Humo ndani kuna mademu warembo kichizi. Kuna demu humo namkubali sana, ni blonde hivi anaitwa Betty Copper.. Hhm nyie! Kweli wazungu wazuri wapo.
Kuna mdau anaitwa Archie, jamaa anapendwa sana na mademu. Aliwahi kutoka mpaka na mwalimu wake anaefundisha Music.
Hizi bahati tungepata wakina sie sijui ingekuwaje.
Kama unapenda series za namna hii basi hii si ya kukosa, japo mzigo una Season 4 complete.