Series (Special thread)

Series (Special thread)

7d58378c3eab3c1abdab7f978a5ac156.jpg


Zoo
 
Umemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priority
Rejea ktk hii comment yako mase....
 
Sie wa kina Van Damme mtukumbuke na sisi jamani..

Mimi nataka muvi nzuri za kuisha siku hiyo hiyo za mission za kusisimua sisimua hivi

Hizi za game of thrones niliangalia nkaona limnyama flani hivi dubuwasha linatema Moto nikaifuta pale pale Wala sikutaka kujua kilichoendelea..muvi zenye uongo mwingi mwingi sizipendi kabisa

Naombeni mnambie ni muvi ipi ya ukweli wadau, sitaki series plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Bourne hizi huwa zinaisha na ni fupifupi...ila ni kama mwendelezo hv lkn....akili nyingi sanaa hii movie..kuna Bourne identity,Bourne legacy,Bourne ultimatum,Bourne supremacy na nk..jamaa anaitwa Matt Damon....no balaa,Jason Bourne aliwatesa sana CIA....
Pia check hii spectral,London has fallen,mission impossible-rogue nation.. ya Tom Cruz...
The great wall,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom