Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ahh mase..it might be..
Bt idont thnk mama..n Mark ma words, designated season2 itakuwa tamu mpaka kisogoni...coz 1 kna sehm walizngua unajua...n kwa uzoefu wetu as Serie season1 huwa wanazngua kdg..
Wamezingua wapi??? Nakuomba ufike mpaka season 3,then tazama season 4 ndio imeanza. Hatari weweee
 
Nimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.

Kama hujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Season 03 Ipo? Ina episodes ngapi?

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Hapo Shooter ilistahili kuwa namba moja kwa list.

Boss una taste smart sana kwenye series

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom