Series (Special thread)

Series (Special thread)

mimi naona watu tunapishana,,,series tamu kwako haiwez kuwa kwa mwengine,,,,tuanze na mtu anayependa mfano series za action ni hizi,,,,,,,,,,comed,,,,,,,,thriller,,,,,,,,,,,,,,,romance action crime,,,,,,,za kizamani na game of thrones,,,,,,,,, investigation,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,..hapo tutaenda sawa,,,,,,,,,,,,,,
Ila mkuu series Kali ni Kali tu....ndomaana mauzo huwa yako juuu sana kwasababu ya ukali wake....hata humu nyuma ya vibodi(mitandaoni) huwa muvy Kali iko well discussed....unajua...
So ukali wa muvy ni ule ule haijalishi
 
The One Who Couldn't Love (La Que No Podia Amar)
90fca9affb20d63dba8e9ae9e0727cae.jpg
)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye hii please naiomba!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unafahamu mambo mazuri, hv unazo nije kuchukua?
Uje uchukue wapi?????
Mkuu tukutane tu hapa jukwaani tu...maana siku hizi sirro anavyotuwinda mhh
Tena sisi team Chadema tunaokosoa tupo hatarini.....
Tukutane tu hapa jukwaani nyuma ya vibodi mkuuu.....sorry sana...
 
PERSON OF INTEREST
BANSHEE
ALLIAS
SHOOTER
Hizo zinakutosha mzee ni hatarii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh we jamaa unanikumbusha mbali..allias 2000 hiyo serie....sirie Kali sanaa yule mdada anamichezo ya ya hatari sana double agent alafu Dickson hajui kitu......na person of interest dahhhhhh hiiii mpka inaisha nltamani kulia yani...ilikuwa Kali sanaa hii serie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom