Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kiukwel mm siogop yyte yule,naheshimu Uhuru wa MTU na mipaka yake,nmeshakutana na watu Tisa ambao ni wana jf inategemea tu mnakutana kwa minajili gan,tutakwepana hapa Ila kuna kipindi utahitahi kitu na mtakutana,mm nilikutana zaid na watu walioniunganishia mashamba mikoani,na pia wengine nimewapelekea simu za kuuza waliponiambia,nyumban kwao na ofisin kwao so kama Nina series na MTU anaihitaji na kama Nina muda kiukwel namwambia tu njoo uchukue,sina tatizo na MTU,watu wala dola ya nchi hii... Kwangu ni aman kwa kila kiumbe sababu nmejifunza kanuni kumi za akili na moja wapo ni kuheshimu kila MTU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quantico wamezingua sana season 2. Iko renewed for season 3 lakini sijui lini itaanza hata kwa TV time bado hawajaieka
Quantico ilikua season one pekee nyingine maruweruwe tu,shooter moja ya series hata nikiona kwenye PC ya MTU naifuta makusud navyoichukia,designated survivor na salvation ukiangalia hutachoka kiukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom