Series (Special thread)

Series (Special thread)

Umemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priority
Mkuu kwan Umeiona season 4 yake ? Me nimeangalia Episode mbili tyu ya Iyo season 4
 
Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Ongezea ...
The Mist
Preacher
The 100
The Flash
Gotham
Banshee
Tyrant
American Gods
The Strain
Colony
Shameless
The magician
This is us
WestWorld
The exocit


Ziko mingi sanaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sie wa kina Van Damme mtukumbuke na sisi jamani..

Mimi nataka muvi nzuri za kuisha siku hiyo hiyo za mission za kusisimua sisimua hivi

Hizi za game of thrones niliangalia nkaona limnyama flani hivi dubuwasha linatema Moto nikaifuta pale pale Wala sikutaka kujua kilichoendelea..muvi zenye uongo mwingi mwingi sizipendi kabisa

Naombeni mnambie ni muvi ipi ya ukweli wadau, sitaki series plz

Sent using Jamii Forums mobile app


Hizo zipo nyingi sana labdanikupe za mwaka 2017

1. S.W.A.T under siege
2. Kidnap
3. Baby Driver
4. Instant Death
5. The Vault
6. Security - It's going to be a long night

mkuu zipo nyingi sana ila ziangalie hizo hapo juu kwa kuanzia
 
Umemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priority
Ngoja nizame chimbo nanze fatilia Last ship ..nlipitezeaga kimtindo ...ila kwa moto huu lazimaa niirudiee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. The Last Ship
2. 24
3. The Good fight
4. Shots fired
5. The Americans
6. Jason Bourne
7. Prison Break
8. Lethal Weapon

Kwa uchache hizo ni kati ya series nzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom