Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Master chief on the bridge. Ha ha ha ha haaCaptain nilijua huku lazima nikukute tu..
Master chief on the bridge. Ha ha ha ha haaCaptain nilijua huku lazima nikukute tu..
Mi series nyingi nilizokuwa nafatilia zote ziko on break..Sina haraka nayo hiyo mpaka mzigo ukamilike sasahivi namalizia Narcos S03.
Zinakaribia kurudi mwisho wa mwezi huu kuwa mpole tuMi series nyingi nilizokuwa nafatilia zote ziko on break..
Niko nayo namalzia season2 ..ni tamu bt ma 1st priority ni designated...Weka mbali na watoto hiyo ngomaaaa. Si mchezo aisee,inavyoanza kindezi flani hivi EPs ya kwanza..wacha kabisa kuanza ya 2 na kuendelea
Hahah sjawahi kukchoka mamaevansGREATDeal unaona hatari hiyo...weka mbali na watoto
The last ship aisee ni balaaaaaaaaaaa
Hiii walizngua...Nilitizama shooters season one haijanisisimua kutafuta season ya pili.
Umemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priorityNiko nayo namalzia season2 ..ni tamu bt ma 1st priority ni designated...
Namuona boy wako myk haha
Nilitizama shooters season one haijanisisimua kutafuta season ya pili.
Kwa app ya terrarium TV,02tv series,app ya show boxYou tube zinapatikana?
Shooter ni ya kaaida sana aseeThe shoot ipo vizuri sana mkuu. Season ya pili imeshaanza.
Search soonerMaster chief on the bridge. Ha ha ha ha haa
Aisee usinichoke tu. Maliza hiyo uje unambie mipango ilivo,ha ha ha haHahah sjawahi kukchoka mama
hello from USS Nathan JamesVulture team,cobra team,kina wolfmama na green..now season 4 kuna team sunshine mtoto wa TeX ana simamia show hatari hatari...Nimefurahi kumwona tena Cpt. Chandler
Weka mbali na watoto hiyo ngomaaaa. Si mchezo aisee,inavyoanza kindezi flani hivi EPs ya kwanza..wacha kabisa kuanza ya 2 na kuendelea
Ahh mase..it might be..Umemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priority
Nakupromis mase ntakuamisha yo 1st priority itakuwa designated...Mark ma word mamaaUmemona mike eeh. Endelea Mzee baba,utachange position hapo. Mi designated naikubali sana sana lakini isubiri kwanza kwa last ship aisee. Bado hujafika kwa timbwili la shenzi moja anaitwa takehaya miller mtoto wa mama anarudi kwa Nathan James haamini,Analia. Nipo hapa nasubiri uniambie kama hata badilisha priority