Number 1,2,8,nishacheki plz izo apo ipi ya kiinteligensia niichekii??Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Niliachana nayoThe black list - redemption nimeicheck ila ilienda mpaka S01E08. Je imeendelea baada ya hapo?
The last ship,designated survivor,blindspotNumber 1,2,8,nishacheki plz izo apo ipi ya kiinteligensia niichekii??
sent from my iPhone 6

D. Survibor nishacheki kaekt Jack bowerThe last ship,designated survivor,blindspot
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks mdadaThe last ship,designated survivor,blindspot
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Breaking Bad ni shidah asee.I think " breaking bad" ni series of all the time
Ingawa kuna
Narcos
Blindspot
Grimm
Na nyinginezo
Hakika. Ni ya ukweliUkiitumia utakuja kuleta mrejesho hapa,, hajuna app nzur na nyepes km terrerium ni balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tom Chandler karudi melini rasmi. Mike kaokolewa karudishwa kwenye meli ila yupo hoiTom chandler kaaamua kuwa bandidu sasa nilicheka sana aiseeee. Chaaaa!! From Hercules to Tom chandler,sijui mike itakuwa vipi jamaniiiii. Till next monday
Eeehh babaa ..ntaachajee mze niko nayo sambambaa...Hatari sana,
Unafatalia Zoo
Sema unajua hiz stori za kusadikika mara nying huwaga ni kama utabiri vile. .Haha hiii comment umeongea kwa hisia sana..
KAma kweli dunia itaangamiaa yani
Series moja nzuri sana, hawa jamaa wako mbali jinsi wanavyoandaa movie zao