Series (Special thread)

Series (Special thread)

The boondocks
Game of thrones
How I met you mother
The big bang theory
My wife and kids
Vikings
Prison break
Spartacus

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Nimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.

Kama hujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Ni kari sana au imepooza
 
Banshee ilikua series ya kukata na chain saw Kwangu ni Kali balaa

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
Aisee nikiwamiss sana huku maana naona wale wale ndio wachangiaji wakuu,Ila yte kwa yte zoo tamu sana,salvation usipime last ship ndo baba yao kwa sasa huku na walking dead daaaah kiukwel nmemiss wacha niangalie zoo EP 11 kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iris inahusu vijana wawili marafiki amabao walipata mafunzo katika jeshi la S.Korea, vijana hawa baadae recruited na National Security Service. hawa vijana wawili kila moja kwa wakati wake walitokea kumpenda dada moja bila wao kujua, mbaya zaidi walikuja kugundua kuwa huyo dada wanaempenda ni incherge wao huko nkazini.

Baadae hao marafiki wawili (Kim Hyun-jun & Jin Sa-woo) walipewa mission huko hungary, wakiwa huko Jin alipewa amri ya kumuua kim kwa kisingizio kuwa ni traitor.

Wakati hup huo hawa jamaa wawili walibaini kuwa boss wao ni Undeercover agent wa kundi moja la kijasusi ambalo lengo lake ilikuwa ni kuanzisha vurugu ili kusiwepo na uhusiano mzuri kati ta S.Korea na N.K

Hivyo basi kim wakati akiwa mafichoni anaajaribu ku expose mtu ambae amemsaliti na kuonesha nani yuko nyuma ya pazia la kundi la IRIS...
Kwa ujumla kuna action za kutosha humu, pia story inavuti, yaani ukiangalia episode moja unatamani kuangalia nyingine.

Wadau wataongezea maana kusimulia ni kugumu
Ebu tupia link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey! Kama kichwa cha habari kinavyosema, nnashauku ya kutazama TV Series nzuri ambayo kila episode inauhondo wa maana nitazame ipi?
Pendekezo:
Iwe: American,
Genre: Sci-Fi/Action/Drama/Espionage au zinazohusiana na hizi
YEAR:2012-present

Ntashukuru kwa mchango wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom