Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ushaiona the last ship??

Mimi nina mnyororo wa series aisee zikianza sijui nitakuwa mgeni wa nani
1. The last ship
2. Blindspot
3. Scorpion
4. The good fight
5. Designated survivor
6. The arrangement
7. Quantico
8. Time after time
Na zingine hadi nazisahau hapa
Good fight ni nzuri??inahusu nn

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hanitoni endelea kuangalia breaking bad ni series bora kuliko zote duniani.. inaanza makali yake season 2.. hutaiweka chini mpaka season 5..
Nimeanza season 1 huu mwezi nimeshafika season 4 nafikiri leo namaliza nianze 5.... Walter white na jessey... Nimelipenda combination Lao...
 
Sijaichek lakini nasikia ni nzuri, wanasema kuanzia season 2 ndio inachangamka.

Jamaa alikuwa anaugua kansa, na alibakisha miezi michache afe. Akaamua ajiingize kwenye madawa ya kulevya ili akifa familia isibaki masikini, miezi ikakatika akagundua amepona na madawa ya kulevya yashamnogea....
Babu six ya action kiviiile ila ni kali sana asee in story moja na matukio matata ambayo itakufanya usitake kuacha kuangalia kinachofata... Niliidharau Muda sana... Nimeanza nimestuka nipo season 4 ndani ya kama siku 10...
 
Naicheki episode 1 na mbili... Daaah sijui mbele.... Waigizaji wahalifu wapelelezi mapolisi naona wote kama madish yameyumba... Psychopsycho flani
m ndo naanza episode ya pili.nahisi km inamiujiza furani hivi

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Na kweli huko mbele ndio, wanatuchefua na maduala yao ya rates.

Ziliniuma series 2 tu.
The Messengers.
The Tomorrow people.
Niliumia jamaniiiii walivyo zi cancel.
Odyssey, The Event, Jericho, The Missing, Revolution .... Ziliuma vibayaaaaas series kali sana afu chaaaaaa KA-TA
 
Time a
Ushaiona the last ship??

Mimi nina mnyororo wa series aisee zikianza sijui nitakuwa mgeni wa nani
1. The last ship
2. Blindspot
3. Scorpion
4. The good fight
5. Designated survivor
6. The arrangement
7. Quantico
8. Time after time
Na zingine hadi nazisahau hapa
Ongezea
Colony
The Son
 
Tags hadi nicheki kupitia web, ngoja nikachek mama.
Vp unapenda comedy?? Black-ish nzuri sana inaelezea maisha ya black americans waliofanikiwa their life style in a comedy way.

Allegience je?? Nice intelegence drama japo waliikatisha kama nikita tu...

Sent from my HTC U11 using Jamii Forums mobile app
 
Napenda drama yenye comedy kidogo, sio comedy tupu.
Hiyo nyingine nilicheki kidogo tu.
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless

7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power

game of thrones mkuu ndo mpango mzima
 
Napenda drama yenye comedy kidogo, sio comedy tupu.
Hiyo nyingine nilicheki kidogo tu.
Hyo ipo poa sana.. Syo kama kina eddy murphy au kevin hart...

Why uliachia nusu??

Sent from my HTC U11 using Jamii Forums mobile app
 
Babu six ya action kiviiile ila ni kali sana asee in story moja na matukio matata ambayo itakufanya usitake kuacha kuangalia kinachofata... Niliidharau Muda sana... Nimeanza nimestuka nipo season 4 ndani ya kama siku 10...
Mi dada mkuu sio babu.
By the way, movie hata ikiwa na action kidogo ilimradi inahusisha kudundana plus mkono hivi genre inasomeka action.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom