Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Sijaichek lakini nasikia ni nzuri, wanasema kuanzia season 2 ndio inachangamka.Breaking bad inahusu nn? Ujasusi au
Jamaa alikuwa anaugua kansa, na alibakisha miezi michache afe. Akaamua ajiingize kwenye madawa ya kulevya ili akifa familia isibaki masikini, miezi ikakatika akagundua amepona na madawa ya kulevya yashamnogea....
