Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kiukweli binafc mi si shabiki wa Series kwani shida inakuja unakua slave wa hio Series..haiwezi kukupita utadhani Ibada bwana.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app

Mimi pia wanakula time yako sana.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Michael failed to get rid of t-bag, kila alichofanya mwisho wa siku t-bag aliibuka from no where!

Umesahau aliposepa na hela akawaachia begi la vitabu?

Michael is a genius, so is t-bag!

- KANA -
Mwisho wa picha t-bag alirudi jela. Na Mara zote t-bag alikuwa analalama kuwa Michael mara zote anamuacha ktk mazingira mabovu kuanzia kule panama alipompachika kisu akaja kushikwa wakakutana sona na sona yenyewe alimzidi akili akamuacha ata baadae wakati wanaitafuta Syclla

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio mpenzi wa series ata kidogo tatizo zinakuibia mda sana kufuatilia episode baada ya episode, Season baada ya season japo nimeshatazama series kadhaa ila series yangu bora kabisa na ninaamini akutakujakuwaga na series nyingine Kali zaidi ya hii ni Prison Break sanasana season 1 ilisimama sana ya 2,3,4 kiasi hii ya 5 najua watakuwa wametuibia tu muda wetu. Watu niliowakubali mule ndani ni Michael jamaa katisha sana , T-bag jamaa kanivunja mbavu sana jinsi alivyo na vitu alivyokuwa anavifanya ,Paul kellerman na mahone.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mi inafungua vizuri. Unataka kunambia zile sever A na B hazifunguki??

Hata hivo nishahama huko kote, nazitumia kuchek updates tu niko Tvserieswap huku mx player ikinisafisha kiroho kwa subtitles.

Basi mororo
shida ni quality

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
84485695f4bd51372612a0b053378974.jpg
ipi kali hapa kwa alieangalia niipakue yenye mambo ya kijasus na visas bila kusahau huckers.?
 
Jaman ntajieni movie kali ya kuangalia wakuu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Kitu into the badland mikoc hii, hawajaimalizia hii

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom