Series (Special thread)

Series (Special thread)

Now watching doubt, nimeipenda. Huwa napenda sana searies zenye mrengo wa kisheria sheria. Napenda vile wanasheria wanavyobishana mahakamani.
Mchumba

Wanabishana kweli?? Wabishi kama lucca wa The Good Fight???
 

Attachments

  • Kal Penn.jpg
    Kal Penn.jpg
    9.1 KB · Views: 40
seth ni mtu mzr cna wakukaa nae maan nimuoga na ana ushauri mzr pia ukimwambia kitu lazima afanye
 
Namuona mchumba wako
Yes mama, napenda sana mambo ya hivyo haswa pale mahakamani.
Ushaiona The Good Fight??
Kuna kadada kanaitwa lucca, aisee ni kibishi mpaka ma judge wanamchoka aiseee. Kabishiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom