Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Ipo poa na yenyewe,hlf wakati unaisubiria last ship,itafute mtangulizi wake inaitwa last resort,japo ina episode 12 tu,lkn ipo bomba na inaendana endana na last shipNilianza kuichek, mambo yakaingiliana nikaikacha. Lakini nilioanga kuitazama tena
Jaribu kuichek strike back,yale mambo yapo na mkono uliopo si wa kitotoEbana mi nataka moja yenye yale mambo yetu na mkono kidogo
Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
ya nneW umeishia season ya ngapi
power, bansheeEbana mi nataka moja yenye yale mambo yetu na mkono kidogo
Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
ya 9Hii prison saiv wametoa ngap?
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Sabab ulinishauri mambo ya Last Ship maana weng wamezoea maseries kama yale ni wanaume tu wanaangalia,ila jana kuna mahal nikakusoma nikajua ww ni kekwanini??
waliniboa walipomuua John Snow; walipo mrudisha appetite ikawa imeniishagame of thrones mkuu ndo mpango mzima
Hilo ndio tatizo lakeHapana aisee sio sasa. Nmeamua ku stopisha kwanza niko busy na biashara,
May be hapo baadae hivi.
Maana zinacheleweshana kulala na kuchelewa kuamka.
nimejikuta napakua season 1 kumbe nilishaiona kitambo. sasa hivi itabidi niwe napaku ki episodi kimoja kimoja cha kuonja kabla sijaendeleaNi nzuri sana mkuu, ni nzuri saaaanaaa.
Yaani ni Hapo tuuu,Maana ni tamu zinaiba muda sana.Hilo ndio tatizo lake
Oooh.duh!!basi pole...ushaichek designated survivor??mzee wa 24 hrsnimejikuta napakua season 1 kumbe nilishaiona kitambo. sasa hivi itabidi niwe napaku ki episodi kimoja kimoja cha kuonja kabla sijaendelea
niko nayo lakini sijawahi kuiangalia. leo ndio nimeipitia haraka haraka, inaonekana tamu. mzee wa 24 anaapishwa kuwa presda bila kutarajia. pale alipo kuwenda kutapika kaniacha hoi. any naangalia game of silence imeonekana kunivutia mpaka kidogo nichelewe kazini asubuhi maana nimeiamukiaOooh.duh!!basi pole...ushaichek designated survivor??mzee wa 24 hrs
Jaribu kuichek strike back,yale mambo yapo na mkono uliopo si wa kitoto
Sent from my LG-D858HK using JamiiForums mobile app
Kuna jitu basi limeisifia hapa nikasema nikuandikie. Pumbav zake
Duh!!!! Mbona mnanichanganya?? Ina mishe zipi mpaka una hisi ni nzuri??Usimsikilize huyo.. shooter kali sana
Ninachoweza kukushauri, haraka sana.... Haraka sana, ianze designated survivor. Mi nilikuwa naizembea hivo hivo, lakini nilivyoianza aisee nilikuwa nalala saa kumi.niko nayo lakini sijawahi kuiangalia. leo ndio nimeipitia haraka haraka, inaonekana tamu. mzee wa 24 anaapishwa kuwa presda bila kutarajia. pale alipo kuwenda kutapika kaniacha hoi. any naangalia game of silence imeonekana kunivutia mpaka kidogo nichelewe kazini asubuhi maana nimeiamukia
Duh!!!! Mbona mnanichanganya?? Ina mishe zipi mpaka una hisi ni nzuri??
Nishawishi tafadhali
Haya nitampa hi. ngoja nikapate mkate then nirudi niitazame. MB sio shida mamintoNinachoweza kukushauri, haraka sana.... Haraka sana, ianze designated survivor. Mi nilikuwa naizembea hivo hivo, lakini nilivyoianza aisee nilikuwa nalala saa kumi.
Such a nice story nakuambia.
You won't regret about your mbs joh. Itazame, ukiendelea nayo msalimie my baby Seth wright...
.
Mzee ni kali sana we icheki...