Series (Special thread)

Series (Special thread)

hivi vikings itaendelea kweli au ndo imeisha.nimemkumbuka sana FLOKI a christian hater

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
nakushauri maliza hiyo uianze the last ship.
Mziki wake muulize xavi bero kauelewa. Na kuu salute. The last ship haijawahi kumuacha mtu salama
Ha habha ha haya maserati,kwel last ship kiboko hasa akili na maamuz ya king him self,captain chandler
 
Odyssey, The Event, Jericho, The Missing, Revolution .... Ziliuma vibayaaaaas series kali sana afu chaaaaaa KA-TA
Jericho sijaichek,revolution sijaiona then missing hata siikumbuki vzr niambie kuhusu Jericho
 
Babu six ya action kiviiile ila ni kali sana asee in story moja na matukio matata ambayo itakufanya usitake kuacha kuangalia kinachofata... Niliidharau Muda sana... Nimeanza nimestuka nipo season 4 ndani ya kama siku 10...
Kali kama the last ship??
 
Kali kama the last ship??
Hapana maudhui tofauti.... Kwa aina yake in nzuri... Labda uwe mtu wa suspense sana.. Hizo utazikuta kwa strike back, the unit, Blindspot, 24 matukio Muda wote.... Hii yenyewe matukio machache ila story na matukio yenyewe ndio inakupa kimuhemuhe cha kutamani kinachoendelea..
 
Sijasema six.... Nilitaka kusema sio ya action kivile ikaandika six kivile ukisoma vizuri utaelewa nilimaanisha nini.... Maana tulikuwa tunaongelea breaking bad....
Nisamehe kwa kukuelewa vbaya mtoto wa inzi
 
Angalia na queen of the south ipo poa pia
Nimeangalia season ya kwanza,hii ya pili nasubiri iendelee kdgo.

Uzur wa last ship wanafanya kaz kwa maelewano sana,jamaa anatumia akil nying mno na anaingia pasipoingilika,ana wapa morali sana vijana wake,na uzur kuliko vyote hakuna scene za mapenz kijinga jinga,wanaheshimu kazi na wanapendana sana.
 
Hapana maudhui tofauti.... Kwa aina yake in nzuri... Labda uwe mtu wa suspense sana.. Hizo utazikuta kwa strike back, the unit, Blindspot, 24 matukio Muda wote.... Hii yenyewe matukio machache ila story na matukio yenyewe ndio inakupa kimuhemuhe cha kutamani kinachoendelea..
Duh!!! The unit kitambo aiseee
 
Nimeangalia season ya kwanza,hii ya pili nasubiri iendelee kdgo.

Uzur wa last ship wanafanya kaz kwa maelewano sana,jamaa anatumia akil nying mno na anaingia pasipoingilika,ana wapa morali sana vijana wake,na uzur kuliko vyote hakuna scene za mapenz kijinga jinga,wanaheshimu kazi na wanapendana sana.
Ndicho ninacho ipendea zaidi, hii na designated survivor hazina upenzi mapenzi kama zingine za hollywood. Unaweza kaa na familia ukazitazama
 
Hii prison saiv wametoa ngap?

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Ebana mi nataka moja yenye yale mambo yetu na mkono kidogo

Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom