xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Ilinishindwa kwa aina kwa aina hyoHawaii Five ndo yenye mambo ya kijasusi ila kila episode tukio lake muendelezo kidogo sana.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
hyo
Ilinishindwa kwa aina kwa aina hyoHawaii Five ndo yenye mambo ya kijasusi ila kila episode tukio lake muendelezo kidogo sana.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mi mwenyewe huwa sipendi series ambazo hazina muendelezoIlinishindwa kwa aina kwa aina hyo
hyo
Umeona chizi letty. Aisee nimeipenda sana ile series, natamani wailete season 2 jamaniiiiNimeicheki mamii, sijui watatoa season two!!!!
Lety kimeo kweli.Umeona chizi letty. Aisee nimeipenda sana ile series, natamani wailete season 2 jamaniiii
Yaani nampenda balaa.Lety kimeo kweli.
Yaan Bobbyray ndio nikitaka kumwambia Mesarati kuwa amechelewa sana kutoangalia izo series mbiliYap zipo vizuri ulichelewa wapi kuzianza manake kama mm nasubiria muendelezo wake
Tags hadi nicheki kupitia web, ngoja nikachek mama.Yaani nampenda balaa.
espy nakutag uje ucheke sehemu qkhaaa. Hauoni??
sio kweli siku hizi kila kitu kipo wazi kuona rating za series sio lazima uwe ulaya au USASema wabongo test zetu za series wengi znafananana na nyingi 2nazozkubal zna ratings ndgo sana uko mambele....nilijarib kucheki the westworld kisa ina ratings nyingi tomatoes nliishia kuifowadi fowadi tu mpaka episode ya 6 uko moto ulipowaka
Hajamaanisha hivo.sio kweli siku hizi kila kitu kipo wazi kuona rating za series sio lazima uwe ulaya au USA
Dah umenichoka kiasi hiki
Nilishia Season 3, itabidi niitafuteInasemekana itarudi kivingine kabisa wahusika tofauti.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
unaangalia serries gani saa hizi. mi nimetoka kumalizia Narcos Season 2
Ushaiona the last ship??unaangalia serries gani saa hizi. mi nimetoka kumalizia Narcos Season 2
Niko E17 kwenye blind spot, hizo zingine badoUshaiona the last ship??
Mimi nina mnyororo wa series aisee zikianza sijui nitakuwa mgeni wa nani
1. The last ship
2. Blindspot
3. Scorpion
4. The good fight
5. Designated survivor
6. The arrangement
7. Quantico
8. Time after time
Na zingine hadi nazisahau hapa
Seaaon ya ngapi???Niko E17 kwenye blind spot, hizo zingine bado
Season 2Seaaon ya ngapi???
Nakuuliza umeichek the last ship??