Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kiukweli binafc mi si shabiki wa Series kwani shida inakuja unakua slave wa hio Series..haiwezi kukupita utadhani Ibada bwana.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app

hivi FARGO inahusu nn hasa??
Fargo inajaribu kuelezea vitu vilivyowahi kutokea..
4cb5882495f2fc88880fc0af1c34fb67.jpg
 
Hiv series kama Last Ship,vile vifaa vyote wanavipata wap? Inachukua muda gan kuitengeneza? Maeneo yanabuniwaje?yaaan kiukwel africa hatuwez kabsa huu mchezo
 
Hiv series kama Last Ship,vile vifaa vyote wanavipata wap? Inachukua muda gan kuitengeneza? Maeneo yanabuniwaje?yaaan kiukwel africa hatuwez kabsa huu mchezo
Sisi bado tuna majambazi yetu yanayovua viatu kabla ya kuvamia nyumba ili wasichafue nyumba ya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom