Kakimbia moj kwa mojaToka jana namsubiri alete hiyo link kapotea
Hahahah, wazee wa zamani walisema kazi na dawa boss....!Ha ha ha soma kijana usije kusapua bhana, series waachie wengine
Hata kwenye Spartacus yapohio Tyrants mbona kama niliskia ina mambo mambo ya kishoga????
Hio Spartacus gladiator nimeona miaka 6 ilio pita..kali sana ila too much sexual
inatia genye balaaIyo taboo ni kali mkuu? Au ni kawaida. The 100 mkuu imeanza kuwa kali balaa na iyo 24 legacy nilipotezea ila ngoja nianze ifwatilia ....emarald city daaah!! Ndo the best kwa sasaaThe 100 imerudi vizuri sana
Emerald city imeanza kuwa series sasa
24 legacy iko poa
Taboo safi sana iko vizuri ingawa inaonyesha ni jinsi gani wazungu walikuwa waidharau Africa

Zipo nyingi sanaa ..tafutanaaKuna series gani mpya kwa sasa na ambayo ni nzuri.!
Naskia tarehe 08/03 mwaka huuNataka kujua designated survivor inarud Lin?
Jamani into the bad land bado? Kama tayari mwenye link tafadhali
ina season ngap au episode ngapJaman kuna moja inaitwa crossed lines binge moja la series
Taboo ina a very good storyIyo taboo ni kali mkuu? Au ni kawaida. The 100 mkuu imeanza kuwa kali balaa na iyo 24 legacy nilipotezea ila ngoja nianze ifwatilia ....emarald city daaah!! Ndo the best kwa sasaa![]()
![]()
![]()