Series (Special thread)

Series (Special thread)

Navyojua haijatok yte,usiifananishe na 24 ya Jack maana hii imeanza kutoka 5/2/2017 halaf Leo watoe season yte duuuuh Hatar mbona
 
Mkuu wacha fix.... 24 legacy ni tofauti na 24 hrs. 24 legacy ndio fox 11 wamerusha episode 4 Jana usiku na sisi wa torrents tumepata leo.



Hebu tuletee hio link yako sasa.
Mwambie Hugo na kama anayo season nzma aniuzie kesho asbhi
 
Hivi ni muvie gani ambayo ipo kama ile movie ya apocalypto??? muvie kama zile yani muvie ina reflect maisha ya zamanii kabisa watu wakiishi msituni, na kuna mapigano ya hatari na wanatumia silaha za jadi. Anaejua muvie au series kama hizo anijuze. Asanteni
 
Na ukitaka kuona kitu cha hatar chenye technology ya hali ya juu anza kufuatilia APB balaa kabsa
 
Aisee mwenye jina la series ambayo inahusiana na masuala ya kutoroka prison kama ile prison break aniambie niidownload maana ninapenda sana series za aina hiyo. Jinsi genius anapotega mchongo wa kutoroka lakini hafanikiwi kirahisi
 
Series za ki intelligencia
Marvels agent of shield
Homeland
Strike back
Designated survior
Intelligence
Macgaiver

Nyinginezo:
Game of throne
Tyrant
Banshee
Into the badlands
Narchos
Vampire diarries
Original
Da vincii demons
Animal kingdom
 
Series za ki intelligencia
Marvels agent of shield
Homeland
Strike back
Designated survior
Intelligence
Macgaiver

Nyinginezo:
Game of throne
Tyrant
Banshee
Into the badlands
Narchos
Vampire diarries
Original
Da vincii demons
Animal kingdom
addition : Shanara chronicles
 
Mkuu wacha fix.... 24 legacy ni tofauti na 24 hrs. 24 legacy ndio fox 11 wamerusha episode 4 Jana usiku na sisi wa torrents tumepata leo.



Hebu tuletee hio link yako sasa.
Toka jana namsubiri alete hiyo link kapotea
 
Jamani into the bad land bado? Kama tayari mwenye link tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom