Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna kichupa h atariii kiko hewAni ndio kwanza episode ya 3 kinaitwa 24.Legacy Wazeee ile 24HRS haingii ndanii
Subutu yako....24 legacy imepoa ukilinganisha na original 24. Yaan imepoa hata ile anavotamka events occur in real time....sentence imepoa. Saut pia ni ya kigentleman sana. Japo naifatilia lakin kwangu bado ni nyota 1 kwa 5 kama nikilinganisha na amshaamsha ya jack bour!
 
The 100 niinza nayo mwanzo kabsa,,kiukwel imetulia sana km umeifuatilia vzr.
 
Subutu yako....24 legacy imepoa ukilinganisha na original 24. Yaan imepoa hata ile anavotamka events occur in real time....sentence imepoa. Saut pia ni ya kigentleman sana. Japo naifatilia lakin kwangu bado ni nyota 1 kwa 5 kama nikilinganisha na amshaamsha ya jack bour!
Hata 24 ya Jack season ya kwanza hasa zile episode za mwanzo mwanzo za kjmwokoa mke wake n mwanae hazikua kali sana Ila ilinoga zaid kuanzia season 2,,hii legacy imeanza vzr sana natumaini mbele itakua balsa zaid,wazungu hawajazoea sana kutuangusha kwenye story za series zao... Ila yte kwa yte bado zipo vzr
 
Kaa chini tulia tafuta kitu kianaitwa "Empire" hii ni guarantee...Lakini kama unapenda complex series unaweza watch Ray Donovan, Fargo na House of Cards..Series za kawaida unaweza cheki Revolution, Tyrant, Crisis, Scandal, Arrows etc etc
Empire ni kwikwi .....
 
Kwann movie au episode ikiwa na ile wanaita seedes weng Ina download fasta?
Seeds ndo nn?? Ila blacklist huyu jamaa nampenda anajiamin sana kwa kwel mpka raha,,hakuna gumu kwake kwel huyu ndio ananifanya niipende hii kitu
 
Wakuu ndio kwanza nimeanza kutizama aina hii ya movies, si mchezo nimenogewa lakini mpaka sasa nimetazama Nikita, Athena na prisonbreak naomba kwa wadau mnitajie series nyingine kali za kijasusi niweze kuzinunua.
Hongera Kwa kuangalia Nikita,,,
Angalia pia Quantico hatare,,,Full ujasusi
 
Na ukitaka kuona kitu cha hatar chenye technology ya hali ya juu anza kufuatilia APB balaa kabsa
Aisee nmeanza kuifatilia sijajua Kama hii technology tayari inatumika hapo state au hii series ndo italeta mapinduzi ya kutumia hii technologia na hiyo app yao ya APB
 
6d72a83f9bda27b03ef642b997ba0caa.jpg

bbb2573feea0d8941520c01066f73df0.jpg

110fcd8ee2c24d6ef1957b3d4884e808.jpg
 
Aisee nmeanza kuifatilia sijajua Kama hii technology tayari inatumika hapo state au hii series ndo italeta mapinduzi ya kutumia hii technologia na hiyo app yao ya APB
Hatar kabsa hii kitu,,labda huko mbele itanoga zaid
 
Jaman mwenye taarifa ya designated survivor inaanza Lin tena anisaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom