Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..


UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless

7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
watu naona hawaangalii
the flah
arrow
the blacklist (one of the best)
if loving you is wrong
one tree hill
the last ship
travellers
taboo
scorpion
dexter
suits
lost(balaa sana hii)
24(mwisho wa matatizo)
 
Hata terrerium tv wameshatupia kama kawa,na tushamalizana nao kam kawa mpk next week,na blindspot km kawa msisahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom