Imeshatoka tayari mkuu nimeshusha leoWaiting for this one️
️
️,3rd June
![]()
Imeshatoka tayari mkuu nimeshusha leo
Download Outcast S01E01 WEBRip XviD-FUM[ettv] Torrent - Kickass TorrentsMbona torrent na O2tv sijaiona,umeishushia wapi?
Jombaa,Tyrants sn2 ilishatoka.Mitandaoni ukitaka ku'download' utaipata.Sijui kama kuna anayefatilia Banshee au Shameless?Hizo pia ni series za ajab!Tunasubiria Tyrants Season 2 Mwezi June.
hafai ile character yake naifananisha na mtu mmoja anaitwa Penguin kwenye series ya GothamDah, T-bag ni noma!
hatar sanaaaMambo ya kishoga kwenye tamthilia nyingi sasahivi ni kawaida na hayawekwi kwa bahati mbaya.hio Tyrants mbona kama niliskia ina mambo mambo ya kishoga????
Kuna upumbafu Sana Kuna baadhi ya Masela wanaact mashoga afu at the end of the day wanapigwa Risasihio Tyrants mbona kama niliskia ina mambo mambo ya kishoga????
anhaa basi sawa ila mimi napenda sana action za korean mfano: Chuno, A Man called GodKuna upumbafu Sana Kuna baadhi ya Masela wanaact mashoga afu at the end of the day wanapigwa Risasi
bora nisiangalie tu, maana inatufanya tuone ni kitu cha kawaida sana kwenye jamii zetuMambo ya kishoga kwenye tamthilia nyingi sasahivi ni kawaida na hayawekwi kwa bahati mbaya.