Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna app ipo google play inaitwa tv shows itafute itakupa info za series
7d44e1a3865938a068922bbe9f5ef48e.jpg
TV shows zpo nying IPI ni sahihi ndugu? Asante
 
Humo kuna kila aina ya tv shows na release date yake... Siku episode inatoka inakupa notification na unakutana na watu wengi duniani wanaofatilia hiyo series na kukujulisha series nyingine wanazoangalia.. Kuna comments za watu kabla na baada ya episode kutoka... Ipo poa sana na huwezi ku skip episode sababu episode ikitoka inakuwa kwenye to watch list na mpka wewe mwenyewe u approve kama umeiona

Kwa mfano hapa inaonyesha 24 imetoka leo na the flash itatoka kesho na zinazofata baada ya hapo na tarehe zake..
8f4c260547645b83e4b50483e97a2d18.jpg
 
Kuna mzigo mpya nimeuona torrent unaitwa TAKEN ndio kwanza ipo episode 1...... Aliyeiona anipe feedback
 
Hii animal kingdom ndugu wote majambazi drug addict wanatembea uchi mbele ya mama yao dah kuishi nao lazima uchanganyikiwe

Ndio unaicheki hiyo now?

Ila nawe movie za madrug dilers na addicts unazipenda!!

Nimeicheki TAKEN aiseee, boonge la series, nimeipenda, thanx dear.
 

Ndio unaicheki hiyo now?

Ila nawe movie za madrug dilers na addicts unazipenda!!

Nimeicheki TAKEN aiseee, boonge la series, nimeipenda, thanx dear.
Kawaida mi napenda ancient stories ka

Spartacus
Game of thrones
Da Vinci demons
Rome
Nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom