Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimekukumbuka mi pia Carleen, nimekumbuka zamani uzi ulikuwa upo active sana kina Vincenzo Jr Mr Q Dr. Mariposa Angel Nylon Depal Seran Those were the days
Kweli pamepoa humu inabidi tufanye jambo sasa,
Nimemaliza kuangalia House of Dragons whoo! i'm so ready for a season 4,

Nataka niianze Interview with a Vampire season 3, huku LIONESS itakua imesogea sogea baadhi ya Episodes niianze pia,

Bytheway, ulienda kuicheki Spiderman?
i did, ilikua nzuri sana pia nimefurahi kua Tom Holland bado tunae kwenye Spidey ya 5🥳🥳🥳🥳 kale kajamaa ni kama kalizaliwa kua spiderman😀
 
House of dragon mi bado sijaimaliza na hyo interview with vampire ni nzuri maana kuna mtu pia aliniambia niicheki

Spider sijaicheki bado, Tom holland anajua, anafaa nahisi kwa kuwa ana ile aura ya friendly na peter parker anafaa kuwa vile ingawa the best spider huwa namkubali Toby maguire sijui kwa nini labda kwa kuwa ndio movies zangu za kwanza za superheroes hvyo ile noslagia inafanya niimkubali sana yeye
 
Siku hizi movies tuna filter sana za kuangalia maana watu weupe hawachelewi kukushangaza kuona vizee venye uraia pacha viki kissiana live au lesbians waki brendiana, ni agenda zinazo forciwa sana kuwekwa kwa kila movie saivi... Sai ni mwendo wa kurudia tu tambala za kitambo ambazo kiasi zina tazamika hata na family, una assume tu ka hujai iona vile..
 
Kweli pamepoa humu inabidi tufanye jambo sasa,
Nimemaliza kuangalia House of Dragons whoo! i'm so ready for a season 4,

Nataka niianze Interview with a Vampire season 3, huku LIONESS itakua imesogea sogea baadhi ya Episodes niianze pia,

Bytheway, ulienda kuicheki Spiderman?
i did, ilikua nzuri sana pia nimefurahi kua Tom Holland bado tunae kwenye Spidey ya 5🥳🥳🥳🥳 kale kajamaa ni kama kalizaliwa kua spiderman😀
Right now Marvel Studio wapo live D23 wanatangaza cast mpya ya member wa X Men. Mwafatilia??
Disney wametangaza hii... 2029 ndo inatoka
2959.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom