Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asantee mkuu ,, nshapakua season 1,, ubarikiweeeePakua hapa Season zote zipo ndani Index of /Serial/Strike Back/
Asantee mkuu ,, nshapakua season 1,, ubarikiweeeePakua hapa Season zote zipo ndani Index of /Serial/Strike Back/
Namuona Sarah, Michael, tbag ,Sucre,berrick
hawa jamaa walkuwa ni nomah SanaHakufahivi michael si walidai amekufa?
Hio Spartacus gladiator nimeona miaka 6 ilio pita..kali sana ila too much sexualKitu spartacus, game of thrones, chuno hizo series balaa tupu.
Hizi niliangalia sikumaliza.
Kuna kitu kingine kinaotwa salem kinamfaa mshama jr
Daredevil kiboko, kali sanaAngalia hizi Into the Badlands, Banshee, Game of throne, Strike back, Breaking Bad, Homeland, Gotham, Narcos, Daredevil, Walking Dead
Mkuu nifanyeje ili nipate home page ya hii site make hii inanidirect moja kwa moja kwenye strike back,, means nataka nipakuee nyinginee mkuuPakua hapa Season zote zipo ndani Index of /Serial/Strike Back/
nimemaliza chuo 2009, nipo kazini mwaka wa 7 sasa.... nina supp kitu gani labda!!!! kila mtu ana kitu apendeleacho.... nna kaka yangu pia yaaani yeye ni katuni tu muvi na series walaaaa hana muda ..... inaweza ukawa umejikita kwenye KITWANGALISATIONWengi wenu mtakua bado wanafunzi wa chuo...sap kibao
Yawezekana we usiwe kati ya hao wengi nlowataja...ila kwakuwa we ni mtoto wa nzi ..kula gwala.nimemaliza chuo 2009, nipo kazini mwaka wa 7 sasa.... nina supp kitu gani labda!!!! kila mtu ana kitu apendeleacho.... nna kaka yangu pia yaaani yeye ni katuni tu muvi na series walaaaa hana muda ..... inaweza ukawa umejikita kwenye KITWANGALISATION
Asantee mkuu ,, nshapakua season 1,, ubarikiweeee
Ok mkuuNinayo yote iyo series season 1 mpka 5 kma unataki nichek
Respect mkuuNinayo yote iyo series season 1 mpka 5 kma unataki nichek
,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo
Angalia hizi Into the Badlands, Banshee, Game of throne, Strike back, Breaking Bad, Homeland, Gotham, Narcos, Daredevil, Walking Dead
Mi nataka 24 iendelee bwana