Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,060
- 95,610
Kudadadeki , aki sema ndio una dhani nachelewesha sasa 😂😂Pyongyang ukienda ni ndoa mzee comred ashasema
Kudadadeki , aki sema ndio una dhani nachelewesha sasa 😂😂Pyongyang ukienda ni ndoa mzee comred ashasema
😀😀😀Aah wewe si una Wifi 😃😃sisi wa mabundle Quality nzuri sana hiyo HD naangalia kwenye Screen kabisa
Basi wamejitahidi sana aiseeMbona Awafim quality yake ni nzuri
Quality mbovu labda baadhi ya movie za kitambo zilizowekwa na Netnaija, na zenyewe zipo Awafim hapo
Au chache ambazo ziliwekwa kipindi ambacho Awafim ndo ilikuwa inaanza anza
Ila hizi movie za sasa quality sio mbovu. Quality ya Awafim ipo kama hivi. Tena hapa itashuka quality maana nimepost JF.Ukikutana na video yenyewe ina quality nzuri tuView attachment 3392068
Wanazingua mno yaaniDah nimewaona. Sema Netflix ushoga ndo vitu vyao hivyo
Dah afadhali, the wait is overwame iachia Sasa hivi, tayari iko net Flix Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3391997
Mzee Sina hakika saana.Kwa nini waharibu?
Yani hujui tu ninavyosubiri kwa hamu kuona Black Americans kwenye Squid Game 4. Yani kwenye movie yoyote nikiona Black Americans roho yangu inasuuzika
Tusioenda cinema SASA ni wakati wetu wakujipakulia minyama
Naunga mkono hoja, squid ilipata umaarufu kutokana na difficult games na challenging games.Squid Haina utam kama mwanzo mana ukatili umezidi hakuna michezo mizuri
Hawajaona Hilo,Bora bunduki ikuue hyo imezoeleka kuliko michezo miwili yote mkono wako uhusike Ina leta ukakasi Kwa watoto.Naunga mkono hoja, squid ilipata umaarufu kutokana na difficult games na challenging games.
Offcouse season one hata watoto walikuwa wanaweza kuiangalia fresh tuu,
Ila hii ina ukatili too much, game ni chache,
Nadhani it's like stori imeisha, au ubunifu umeisha,
Labda season four wataleta kitu kipya
Tayari mzigo ninaoTusioenda cinema SASA ni wakati wetu wakujipakulia minyama
Kweli ndugu,Hawajaona Hilo,Bora bunduki ikuue hyo imezoeleka kuliko michezo miwili yote mkono wako uhusike Ina leta ukakasi Kwa watoto.
Dah.. Unajua mimi hata siwaelewi. Hivi kuna movie mliangalia labda mkaona Black Americans wameharibu au. Mbona hamuwakubali hiviMzee Sina hakika saana.
Watu weusi humu kwenye squid wanaweza leta mambo yakichoko
Anyway tusubiri tuone
Ndio ndio kakaTusioenda cinema SASA ni wakati wetu wakujipakulia minyama
Hiyo series kalii sana 🔥THE WALKING DEAD ukianza kuangalia unakua kama teja nipo season 4 kila nikisema hii episode ya mwisho nipumzike , najikuta nakesha
Me nakumbusha kadi yetu ta chama iludiKudadadeki , aki sema ndio una dhani nachelewesha sasa 😂😂
Hakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,Naunga mkono hoja, squid ilipata umaarufu kutokana na difficult games na challenging games.
Offcouse season one hata watoto walikuwa wanaweza kuiangalia fresh tuu,
Ila hii ina ukatili too much, game ni chache,
Nadhani it's like stori imeisha, au ubunifu umeisha,
Labda season four wataleta kitu kipya
Sawa, sema hata ikiisha sawa tu. Ilishaanza kupungua ladhaHakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,
Wamesema ile scene ya mwisho haijalenga kua kuna muendelezo bali wamepeleka ujumbe kua game imeisha Korea lakini sehemu zingine duniani bado inaendelea, lakini pia wametaka kupumzika kwa sasa labda baadae wanaweza wakatoa spinoff sio sequel na hii spinoff itakua na nafasi ya miaka mitatu kati ya season 1 na season 2,
Hii ni 'May be' tuwe wapole tuendelee kutazama series zingine. Lol
Exactly 💯 wameshaharibu vayolensi zimekuwa nyingi mnoSawa, sema hata ikiisha sawa tu. Ilishaanza kupungua ladha
Exactly 💯Hakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,