Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,765
Amerudi au niliona vibaya anaitwa bidada Jung Ho-yeon alikuwa ni mchezaji no 067
Mi pia nilimuona pale Gi hun anataka kuwachinja wenzake wakiwa wamelalaAmerudi au niliona vibaya anaitwa bidada Jung Ho-yeon alikuwa ni mchezaji no 067
View attachment 3389864View attachment 3389865
pale alivyofungua mlango akawaona wale wenye timu nyekundu, kafunga mlango kisha kaanza kuondoka kimya kimya bila kuwambia wenzake 😅😅Tapeli huyu 😃😃😀😀View attachment 3389915
Kafanya uhuni 😂😀😀😃😃pale alivyofungua mlango akawaona wale wenye timu nyekundu, kafunga mlango kisha kaanza kuondoka kimya kimya bila kuwambia wenzake 😅😅
Huyu mtoto mzuri nikimuonaga naenjoy vibaya mno 😀 😎😎Mi pia nilimuona pale Gi hun anataka kuwachinja wenzake wakiwa wamelala
daaaaang'..🔥🔥
Exactly 💯 mwanangu 😎daaaaang'..🔥🔥
the wait is over..!!🙌
Mi nasubiri kuona pambano la anna der mas na john wick, maana kwenye trailer alisema wamemtuma john wick kumuuadaaaaang'..🔥🔥
the wait is over..!!🙌
SLOW HORSES haipewi heshima ila nenda kaitafuteWakuu heshima zenu,
Naombeni suggestion ya series kali za espionage zile za akili nying.
Nimeshachek the americans, the bureau na tehran
Exactly 💯 mwanangu 😎
Maana yake wamesha kusanya faida?
Hii inaitwaje ngoja nirudi sasa kwa wakorea....napenda comedy na fantasyNdio awe bi mkubwa wako 😃😃😃
View attachment 3389570
Hii Countdown inaonekana ni kali. So far story imenyooka.
NdioMaana yake wamesha kusanya faida?
Squid gameHii inaitwaje ngoja nirudi sasa kwa wakorea....napenda comedy na fantasy