Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,722
- 6,518
Mtaalam Jackal yupo na Rice
Asije akampiga sneipa aisee😀😀Mtaalam Jackal yupo na RiceView attachment 3391230
Nimeshaiweka watch list nitaichek nikimaliza hii homelandSLOW HORSES haipewi heshima ila nenda kaitafute
Kali sana hiyo hapo waingereza walituliza akili mnoNimeshaiweka watch list nitaichek nikimaliza hii homeland
Asante sana🙏
Ila sijui walifikiria nini kukapa uhusika wa series kali hako kajamaa. Ni kaigizaji haswaMtaalam Jackal yupo na RiceView attachment 3391230
Fundi mno huyo kamcheki tena kwenye kazi hiziIla sijui walifikiria nini kukapa uhusika wa series kali hako kajamaa. Ni kaigizaji haswa
Namalizana na BARRY NA SQUID GAME NITAZITAFUTA HIZOFundi mno huyo kamcheki tena kwenye kazi hizi
The Beast
Fantastic Beasts and Where to Find Them
Vipi Barry na wale warusi umewaonaje kaka 😂 😃 pamoja na yule mzee kasanuu wa kule jukwaa la maigizoNamalizana na BARRY NA SQUID GAME NITAZITAFUTA HIZO
Mkuu full vituko 😁😁😁 mwandishi wa hii series kajitahidi. Ni filam chache huwa zina maigizo ndani ya igizo.Vipi Barry na wale warusi umewaonaje kaka 😂 😃 pamoja na yule mzee kasanuu wa kule jukwaa la maigizo
Kabisa kaka yule mke wake Barry mie huwa ananichekesha sanaMkuu full vituko 😁😁😁 mwandishi wa hii series kajitahidi. Ni filam chache huwa zina maigizo ndani ya igizo.
Nimemaliza kuangalia Squid Game 3 sasahivi, naona wanataka kuleta na game USA. Bora iendelee tu
Wasiishie Season 3. Nataka nione Black Americans kwenye Squid Game ijayo 😁View attachment 3385902
Yule bidada ana balaa mnoBila shaka yule bibi alieonekana mwisho wa series anapigana vibao na mwamba ni mmoja wa cast ya season ya USA. Nahisi black americans wataharibu hii.
Pia yupo kwenye movie ya The Theory of Everything ameigiza kama Stephen Hawking ambapo alipata tuzo ya oscarFundi mno huyo kamcheki tena kwenye kazi hizi
The Beast
Fantastic Beasts and Where to Find Them
Kwa nini waharibu?Bila shaka yule bibi alieonekana mwisho wa series anapigana vibao na mwamba ni mmoja wa cast ya season ya USA. Nahisi black americans wataharibu hii.
Wana ujinga mwingi watakufa wengi mapema mno, wakiwa wanacheza mmoja akishindwa game utasikia "Man F**k this shit i'm out here" anakula risasi ya kichwa😁,Kwa nini waharibu?
Yani hujui tu ninavyosubiri kwa hamu kuona Black Americans kwenye Squid Game 4. Yani kwenye movie yoyote nikiona Black Americans roho yangu inasuuzika
Kwa nini waharibu?
Yani hujui tu ninavyosubiri kwa hamu kuona Black Americans kwenye Squid Game 4. Yani kwenye movie yoyote nikiona Black Americans roho yangu inasuuzika
Wana ujinga mwingi watakufa wengi mapema mno, wakiwa wanacheza mmoja akishindwa game utasikia "Man F**k this shit i'm out here" anakula risasi ya kichwa😁,
mwingine anapewa maelezo ya kucheza game anamtukana yule mlinzi akiingia kwenye mchezo anaanza kuhaha 😆😆
Sasa kama unajua series ni story na sio actors kwa nini hutaki Black Americans wawepo? Si tunakubaliana series sio Actors auWataoiharibu hii series sio actors ni story/script writers wakiwa wa usa wataharibu, wabaki wale wale wakorea na Director abaki yule yule tupate kitu original kutoka kichwani mwake.
Sasa kama unajua series ni story na sio actors kwa nini hutaki Black Americans wawepo? Si tunakubaliana series sio Actors au
Sometimes watu wanaweza kuwa proved wrongMuda ni mwalimu ngoja uone mkuu. Au nenda kwenye pages za neflix kaone reaction za watu kuhusu mikono ya usa kuhusika.