Series (Special thread)

Series (Special thread)

🤣🤣🤣🤣Huyu mama aliwaingiza wafuasi wake chaka hafu akakimbia, ile scene niliirudia karibu mara nne.Alinichekesha alivyoingia kwenye kile chumba akatoka hana wasiwasi akabana mlango hafu ghafla akatimua mbio akawaachia wafuasi msala...dah! Miyeyusho sana.
😀😀😀😀Ni muhuni sana
 
Hapo quality ni mbovu
Mbona Awafim quality yake ni nzuri
Quality mbovu labda baadhi ya movie za kitambo zilizowekwa na Netnaija, na zenyewe zipo Awafim hapo
Au chache ambazo ziliwekwa kipindi ambacho Awafim ndo ilikuwa inaanza anza
Ila hizi movie za sasa quality sio mbovu. Quality ya Awafim ipo kama hivi. Tena hapa itashuka quality maana nimepost JF.Ukikutana na video yenyewe ina quality nzuri tu
Screenshot_2025-07-03-01-27-40-597_org.videolan.vlc.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom