Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 712
- 1,300
Movie ya STRAW uchungu + hasira havikwepeki
mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,Ushaanza kuangalia Squid game 3, mi nipo ep 02 hivyo nakushauri andaa tissue, machozi yatakutoka tu 😀😀
Yule aliyekuwa yupo tayari kumuua mpaka mwanae kisa pesa 😔😔mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,
Ila SG imenifanya nifikirie kiwango cha TAMAA ya mwanadamu, katika kitu huyu kiumbe hawezi kamwe ni KURIDHIKA..!!🙌
😅😅 umejitahidi 👏🏻👏🏻mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,
can you Imagine, na mwanzo nilidhani anataka kusaidia..!!Yule aliyekuwa yupo tayari kumuua mpaka mwanae kisa pesa 😔😔
Hahaha😅😅 umejitahidi 👏🏻👏🏻
Oya unaharibu misijaanza bado
Dah samahani sana nlijua tayari ushaona 😞😞Oya unaharibu misijaanza bado
Pitia juu zishawekwaDondosheni na single movie kali
Dogo kajipata 😃😃 naona huu mzigo ukiendelea season 4 😃
Huyu kazi yake kuuliza tu kisiwa Kiko wapi😃😃
Huyo dogo wa Squid Game kweli ni useless character
Dogo kapewa namba? Ndo nahangaika kuishusha hapa
Ni Kali sanasquid game s03 ni kali?