Series (Special thread)

Series (Special thread)

Niko nusu ndo naiangalia sahiz hapa. Duh.. hii sasa ndio movie
Screenshot_2025-07-02-22-32-31-913_com.android.chrome.png
 
Daah hawa jamaa wameacha kabisa kutoa series kali za military aiseee...hizo ndio series ambazo huwa zinasisimua moyo wangu wiki ijayo itabidi niirudie Terminal list tu...
Kati ya series ambazo nimezikubali mwaka huu ni MOBLAND
SERIES KALIII SANA AISE 🤙🏾
Mfano Squid Game tangu imetoka nimedownload ila sijamaliza kuiangalia tu nakua mzito samna
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Mimi Nimpenzi Sana Wa series Sana.
Nyingi Zinasikitisha Nyingine pia Zinafrahisha.
Hapa nitaanza Na Hii Niliomalizia Ujuzi.
Ya Mchina Na Mjapani.
Blood Sword ⚔️.
Kwasasa
Nipo na Unforgettable Revenge.
How is the killer.
Person Break
Revenge
Revolution
Family Plan
Holy Day
Nk.
 
Daah hawa jamaa wameacha kabisa kutoa series kali za military aiseee...hizo ndio series ambazo huwa zinasisimua moyo wangu wiki ijayo itabidi niirudie Terminal list tu...
Kati ya series ambazo nimezikubali mwaka huu ni MOBLAND
SERIES KALIII SANA AISE 🤙🏾
Mfano Squid Game tangu imetoka nimedownload ila sijamaliza kuiangalia tu nakua mzito samna
zero zero zero
Echo 3,
when the eagle strike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom