Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,014
- 95,523
Nasubiria alice in the borderland season 3, angalau hii story ili Anza na kuisha vyema.Hakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,
Wamesema ile scene ya mwisho haijalenga kua kuna muendelezo bali wamepeleka ujumbe kua game imeisha Korea lakini sehemu zingine duniani bado inaendelea, lakini pia wametaka kupumzika kwa sasa labda baadae wanaweza wakatoa spinoff sio sequel na hii spinoff itakua na nafasi ya miaka mitatu kati ya season 1 na season 2,
Hii ni 'May be' tuwe wapole tuendelee kutazama series zingine. Lol