Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,382
- 10,455
Sometimes watu wanaweza kuwa proved wrong
Kwanza watu wengi walikuwa wanataka iishe maana ikiendelea hivi ladha itakuwa ileile kila season
Bora sahiz tutaona kitu cha tofauti. Unadhani USA haina ma director wazuri?
Hapo sasa neflix wacheze karata yao vyema kwenye production team.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tvshows za marekani utakuwa shahidi nyingi wamezicancell zimeishia njiani na maswali mengi sababu ya rates kuwa chache na mbaya. Waandishi wa story USA ni wachache mno wanajua.