Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,742
Wamarekani wajinga sana mkuu series kali sana huwa hazina muendelezo wanazi cancelHivi Haina muendelezo naona kama imeishia njiani?
alafu series au movies zenye mambo na agendas zao za kishoga ndiyo unakuta zikapewa promos kwa nguvu.. Angalia kuna series ilkua inaitwa The Endgame walii cancel ilkua nzuri kweli, kuna American Abyss nayo ilkua chuma, Dark Angel, Stranger Things e.t.cPrime na Lionegate na Sony nawakubali hawanaga mizigo mibovu hawa jamaa, wakitoa mzigo wa action ni action kweli haiku disappoint..Tukutane mwezi wa 8
Episode Season 01 Episode ya 03 kwenye hili goma huwa naipenda sana na nakumbuka yule jamaa anaitwa Saul Agnon alimfata Steven Horn na kumwambia yule chizi (psychopath) tunatuma tu watu kumuua lakini watu wetu ndo wanaishia kufa anazurura tu hii California kama mwehuTukutane mwezi wa 8
usalama wetu mdogo tukiwa nje huko...



sabu Steve yeye pia alikua kikosi Navy SEAL kabla ya kua mamluki wa deals haramu.. Saul Agnon ndo alifatia kufa kwenye List ndiyo akaona uchizi wa James Reece sasa..Jack Ryans pia utaikubali ukizicheki.Bado sijafanikiwa kukutana na series kali za Military drama zaidi ya:
1. Seal team
2. Seal team six
3. Terminal list
4. Strike back
Ingawa kuna 68 Whiskey pamoja na Brave ila hizo nne juu hapo ni hatari. Kwakua hakuna kazi mpya za kibabe naanza kuirudia Seal team upyaaa......naomba kama kuna mdau ana propose chuma kali za design hiyo apo juu aniwekee wakuu kuirudia series kunataka moyo😂
Pale wametuweza aiseMOBLAND bado inaleta hamu sana
Mzee wa totozYule dada black wa kwenye mobland nikienda London lazima nimtafute 😎😎
Guy Ritchie hii series ametuliza sana akiliiMie natamani hata leo watoe hiyo ep ya 10nilicheka ya 09 ilivyoisha Maeve na Conrad wanavyoimba kajinga sana kale kabibi
![]()
Daaah hawa jamaa huu mwaka watatumalizaTukutane mwezi wa 8
Watoto wazuri ni kitu muhimu sana kakaMzee wa totoz
Exactly 💯Guy Ritchie hii series ametuliza sana akilii
Hakika mkuu anafanya mambo yake Kwa utulivuGuy Ritchie hii series ametuliza sana akilii
Na tusi lake pendwa ni neno cunt 😃😀Hakika mkuu anafanya mambo yake Kwa utulivu
Conrad anatumia mihemko sana anachotaka yeye ndio iwe hvyohivyo hata kama kitaleta madhara
Siumeona Ep 9 Jaime alivyomchana alafu akamuheshimisha Harry
"No wonder Kat Want you.
And " No wonder you want to leave.
Conrad ajiangalie ufalme wake utaangushwa soon
Hahahaha hata yule Dogo Eddie analipenda sana hili tusi😃Na tusi lake pendwa ni neno cunt 😃😀
Kama FROM umeiona mbaya mmh basi sio mpenzi wa Horror, je Yellow Jackets na The Last of Us?Dr. Mariposa nikaangalia From kwasababu yako, kumbe mbayaaa...
Afadhali 🤣🤣🤣🤣View attachment 3343596
Namna gani pale!
Stranger things wameicancell!!!Wamarekani wajinga sana mkuu series kali sana huwa hazina muendelezo wanazi cancelalafu series au movies zenye mambo na agendas zao za kishoga ndiyo unakuta zikapewa promos kwa nguvu.. Angalia kuna series ilkua inaitwa The Endgame walii cancel ilkua nzuri kweli, kuna American Abyss nayo ilkua chuma, Dark Angel, Stranger Things e.t.c
Ukiingia Netflix mostly series nyingi nzuri kwa sasa zina mambo ya umende mende na ndiyo zinatolewa kwa fujo..
The Last of Us nzuri mno. Yellow jackets sijaiona.Kama FROM umeiona mbaya mmh basi sio mpenzi wa Horror, je Yellow Jackets na The Last of Us?