Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pirates bay
Ngoja niichukue tena
Screenshot_20250529-193118.png
 
Wamarekani wajinga sana mkuu series kali sana huwa hazina muendelezo wanazi cancel alafu series au movies zenye mambo na agendas zao za kishoga ndiyo unakuta zikapewa promos kwa nguvu.. Angalia kuna series ilkua inaitwa The Endgame walii cancel ilkua nzuri kweli, kuna American Abyss nayo ilkua chuma, Dark Angel, Stranger Things e.t.c

Ukiingia Netflix mostly series nyingi nzuri kwa sasa zina mambo ya umende mende na ndiyo zinatolewa kwa fujo..

stranger things haija kanseliwa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom