Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hivi ni madhara ya kutazama movie nyingi ama ni nini..!? nimekuwa na tabia ya kumalizia conversation za wazungu wa watu nikiwa natazama movie..!🙌🏾

Nimesikitika zaidi baada ya kutazama the husband na Agent Kim reactivated, najikuta nawasaidia kusema the exact next words, sasa ndiyo mpaka Wakorea jamani..!??😒
 
Ka lucky kajanja kajanja sana yani. Kamepita na mikoba ya akina mama kwenye birthday party nikabaki kinywa wazi
Huyo dada ni kitu ingine kabisa! Mimi nimependa kila episode ni ya moto! Alivyochoma ile gari, alivyoiaminisha ile familia na kuishi nayo,alivyoiba gari yao ndio kabisaa🙌🏾
 
Season 3 episode 1

Ipo on
 

Attachments

  • HOtO7PpXsAAndmG.jpg
    HOtO7PpXsAAndmG.jpg
    124.9 KB · Views: 8
Humu story yake ni simple tuh kuna madogo walienda kwenye water cave kufanya utaliii, wakakutana na shark 🦈 huko akaanza kuwapelekea moto
 

Attachments

  • HMhj3BJaQAAhMAy.jpg
    HMhj3BJaQAAhMAy.jpg
    316 KB · Views: 9

Similar Discussions

Back
Top Bottom