Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yupi huyo ?

Au yule Richie alie mshoot?
Huyu manzi..anatumia jina la Zosia kwenye hiyo MobLand..

Jasmine-Jobson-Top-Boy-actress-819x1024.jpg
images.jpg
 
samahani wakuu nilikua natafuta site ya kudownload hii series
Defending jacob
nimekosa site ya kodwnload nimekuja kwenu kuomba kwa anaefahamu site naweza pata hii series nikadownload namaliza nashukrani.
 
Moja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?

Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3

2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7

3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30

NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA

HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom