Series (Special thread)

Series (Special thread)

Me nlijua tayari maeve ndio snitch au kuna mwingine
maeve ndio muhuni pale
trust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!

Maeve ni kweli nia yake ilikuwa kumuumiza mumewe, ila naamini kuna baadhi ya vitu hawezi sema kwa adui, yupo mwingine anauza ramani ya vita ya familia kwa ukubwa..!!

1st June siyo mbali, ngoja tuone...!
 
your are welcome

Ukitaka movie za horror umecheki Angel Nylon au Carleen za ngumi mapanga ,vita Mr Q za historical Dr. Mariposa na chochote kuhusu movie/series unamcheki Vincenzo Jr 😃😃😃
😂😂😂
at all things, horror...??
naona shida yako ni niache kuota zile ndoto zangu nzuri za kwenda honeymoon ughaibuni, nibaki naweweseka na kukemea kila leo..!!
 
trust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!

Maeve ni kweli nia yake ilikuwa kumuumiza mumewe, ila naamini kuna baadhi ya vitu hawezi sema kwa adui, yupo mwingine anauza ramani ya vita ya familia kwa ukubwa..!!

1st June siyo mbali, ngoja tuone...!
Au itakuwa ni Seraphina
 
😂😂😂
at all things, horror...??
naona shida yako ni niache kuota zile ndoto zangu nzuri za kwenda honeymoon ughaibuni, nibaki naweweseka na kukemea kila leo..!!
Ila wabongo tuna akili hatuwezi kuishi kwenye nyumba umeambiwa kuna mtu aliua familia yake yote kisha na yeye kujiua, au nyumba ipo peke yake kwenye misitu 😁😁
 
trust me kuna rat mwingine mule ndani, umejiuliza kwanini Harry hajasema kwa yoyote yule kile alichoambiwa na Freddy..?? nahisi anafanya makusudi inawezekana na yeye ana mipango yake kichwani..!!

Maeve ni kweli nia yake ilikuwa kumuumiza mumewe, ila naamini kuna baadhi ya vitu hawezi sema kwa adui, yupo mwingine anauza ramani ya vita ya familia kwa ukubwa..!!

1st June siyo mbali, ngoja tuone...!
Hata Jaime alimuuliza Harry kuhusu rat harry akamjibu kuwa anamjua

Sema Kuna kauli aliongea Conrad
"Eddie don't forget to feed the dog..."

Hii kauli inamaanisha kitu sio bure🤔
 
Bado sijafanikiwa kukutana na series kali za Military drama zaidi ya:
1. Seal team
2. Seal team six
3. Terminal list
4. Strike back

Ingawa kuna 68 Whiskey pamoja na Brave ila hizo nne juu hapo ni hatari. Kwakua hakuna kazi mpya za kibabe naanza kuirudia Seal team upyaaa......naomba kama kuna mdau ana propose chuma kali za design hiyo apo juu aniwekee wakuu kuirudia series kunataka moyo😂
 
Me naikubali brave na terminal list, je vipi special ops au treadstone ni kali pia hzo nyingie sijawahi kuziona
 
Bado sijafanikiwa kukutana na series kali za Military drama zaidi ya:
1. Seal team
2. Seal team six
3. Terminal list
4. Strike back

Ingawa kuna 68 Whiskey pamoja na Brave ila hizo nne juu hapo ni hatari. Kwakua hakuna kazi mpya za kibabe naanza kuirudia Seal team upyaaa......naomba kama kuna mdau ana propose chuma kali za design hiyo apo juu aniwekee wakuu kuirudia series kunataka moyo😂
Lastship ni kali pia
 
MOBLAND bado inaleta hamu sana
Kuna Ile Ep ya 6 au 7 mzee Conrad na familia yake walikuwa wakimdhihaki mzee wangu Richie kwenye simu baada yakutoka msibani

Conrad alimdhihaki sana Richie kuhusu kifo cha mkewe akamuiliza je Richie unasemaje mzee alijibu jibu Moja tuu akamwambia "RUN

Nilipenda sana kipande kile
 
Hii series Kuna Convo kalii mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom