Series (Special thread)

Series (Special thread)

Moja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?

Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3

2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7

3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30

NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA

HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
Hivi wewe ulielewa aliyemuua yule dogo ni nani, maana yule aliyejinyonga alilazimishwa andike barua na jacob anasema hakuua
 
Moja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?

Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3

2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7

3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30

NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA

HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
nashukuru sana kaka
 
samahani wakuu nilikua natafuta site ya kudownload hii series
Defending jacob
nimekosa site ya kodwnload nimekuja kwenu kuomba kwa anaefahamu site naweza pata hii series nikadownload namaliza nashukrani.
Sites ni nyingi sana mkuu, kama mpaka mwaka huu una hangaika na ku download hizi movies pole sana...

Kwenye simu kuna apps kadhaa ni bando lako tu, kuna OnStream, Stremio, Moviebox pia Telegram kuna bots shazi za movies kwa torrents ingia ext.to hapo mizigo kama yote. Kama unataka ku stream live bila ku download unaweza tumia site ya moviebox.ng tu una stream una achana nayo, kuna netfree2.cc pia hii imekaa kama Netflix kabisa na movies zote unazoziona Netflix hapa unazikuta pia wana app yao copy ya Netflix, there you go...
 
Fargo ni balaa 🔥, wewe uliyeileta hii nakupa 👊
Ya mwaka gani hii? Nakutana na picha kama hii nisije jikuta nabeba makatuni
1748424979331.jpeg
Screenshot_20250528-123451.png
 
Hata Jaime alimuuliza Harry kuhusu rat harry akamjibu kuwa anamjua

Sema Kuna kauli aliongea Conrad
"Eddie don't forget to feed the dog..."

Hii kauli inamaanisha kitu sio bure🤔
Inawezekana kuna kitu wamemaanisha, sababu naamini pia Harry alivyomuambia Eddie kuwa 'I'll push you off', kuna kisasi matata kinapangwa pale..!!🙌
 
Moja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?

Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3

2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7

3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30

NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA

HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
kwanini nikitaka kodownload inaniambia ni register kuna umuhim au ni lazima kujisali kabla ya kudownload naomba nimalize na shukrani kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom