Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,706
- 4,105
Hatari sana.Pale wametuweza aise
Hatari sana.Pale wametuweza aise
Mkuu the day of the jackal season 2 inatoka lini?Yule ni britishi afu mtoto ana rangi ya chocolate yule
the endgame imeniuma balaa, muendelezo wake ungekuja na comeback moja ya hatari mno..!!🙌Wamarekani wajinga sana mkuu series kali sana huwa hazina muendelezo wanazi cancelalafu series au movies zenye mambo na agendas zao za kishoga ndiyo unakuta zikapewa promos kwa nguvu.. Angalia kuna series ilkua inaitwa The Endgame walii cancel ilkua nzuri kweli, kuna American Abyss nayo ilkua chuma, Dark Angel, Stranger Things e.t.c
Ukiingia Netflix mostly series nyingi nzuri kwa sasa zina mambo ya umende mende na ndiyo zinatolewa kwa fujo..
Hiyo hadi mwakani mkuu.Mkuu the day of the jackal season 2 inatoka lini?
Harry da souza mtulivu mno kwenye maamuziHakika mkuu anafanya mambo yake Kwa utulivu
Conrad anatumia mihemko sana anachotaka yeye ndio iwe hvyohivyo hata kama kitaleta madhara
Siumeona Ep 9 Jaime alivyomchana alafu akamuheshimisha Harry
"No wonder Kat Want you.
And " No wonder you want to leave.
Conrad ajiangalie ufalme wake utaangushwa soon
Kuna kipande Ep ya 5 kule mwishoni mke wake Ritchie anavyoenda kulipuka na bomuHatari sana.
Hii tayariHii nasikia imevuja , mimi nimezidownload kuanzia ya kwanza ili nijikumbushe
😃😃under the dome kwanini ilikua bannedKuna hizi 1. Dark matter
2. Under the Dome
3. The peripheral
4. Outer Range
5. 3 body problem
4. The returned, hii siyo sci fi inahusu watu waliokufa kwenye mji huo wanaanza kurudi ghafla mmoja mmoja
He's both...a hero and a villain!!!Huyu bwana ni Hero au anti hero wakuu!!!😀?
View attachment 3346477
Kwanza huyo sio bwana. Hicho ni kikatuni
Sababu ilikuwa nini?😃😃under the dome kwanini ilikua banned
Sijajua ila ilikua discontinued maana pale wametuacha dilema ile ngoma haikuisha ratings zilishukaSababu ilikuwa nini?
duh hata sijui😃😃under the dome kwanini ilikua banned
Site gani ya kudownload movie kwa simu nje ya movie boxduh hata sijui
Upo cinemaHivi huu mzigo tayari??
Mwakani inshallahMkuu the day of the jackal season 2 inatoka lini?
Mbona mi nimeishusha jana nikakuta ni uchafu wa CAM? NIPE CLEAR LINKHii tayari
Mi huwa natumia utollerent, awafim na today tv series,Site gani ya kudownload movie kwa simu nje ya movie box