Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Naona horror zimenishinda kiukweli, tchaaah'..!!🙌Basi Sikiliza tu usiangalie 😁😁😁 au angalia movie nyingi za kutisha ili uzoee
Naona horror zimenishinda kiukweli, tchaaah'..!!🙌Basi Sikiliza tu usiangalie 😁😁😁 au angalia movie nyingi za kutisha ili uzoee
Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu 😃😃😃Naona horror zimenishinda kiukweli, tchaaah'..!!🙌
yewooooomiii,Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu 😃😃😃
Mi huwa nazipenda zile horror ambazo mpaka unaogopa hata kwenda Toilet usiku, kuna movie moja nijifanya mbabe nataka niangalie usiku mida ya saa nne hivi,😃😃 ila niliishia dakika kumi tu nikasema hapana nitangalie kesho mchana😆😆yewooooomiii,
unataka nipige ukunga mpaka sauti ifike JF..??
😂😂😂😂😂Mi huwa nazipenda zile horror ambazo mpaka unaogopa hata kwenda Toilet usiku, kuna movie moja nijifanya mbabe nataka niangalie usiku mida ya saa nne hivi,😃😃 ila niliishia dakika kumi tu nikasema hapana nitangalie kesho mchana😆😆
Mimi ilinishinda sio kwa sababu ya kutisha ila sikuipenda tuVincenzo Jr nimeishia Season 2 episode ya 8 kwenye From, mzee nimeshindwaa..! naota kila siku wale viumbe, mpaka nimeacha kutazama ila bado nawaota kinachouma ni kuwa story inaendelezwa ndotoni na kuna character wanaongezeka, walaqhi' najuuuta..!!🥹
utakuwa unapenda hekaheka, vita ni vita muraaa, ndiyo maana ikakushinda inawezekana...Mimi ilinishinda sio kwa sababu ya kutisha ila sikuipenda tu
Mbona ni nzuri tu😀😀Dr. Mariposa nikaangalia From kwasababu yako, kumbe mbayaaa...
mbona ni nzuri tu bwasheeDr. Mariposa nikaangalia From kwasababu yako, kumbe mbayaaa...
Mwambie vin akupe list ya horror uangalie weekend hii za kutosha tena zile hardcore baada ya hapo From utaona ni kawaida tu 😃😃😃
Hizo zitamfaa achague kama nne hivi kwa weekend hii atazoea tu. Dawa ya sumu ni sumu 😁😁😁![]()
Advanced search
www.imdb.com
hizi zitamfaa sana
dah pole mwanangu kuna yule jini ana smile mda wote mule sio powa anatisha mno kuna siku nilikuwa nimetoka kariakoo saa 9 usiku nikaingia kigamboni saa 9 kama na 30 hivi aloo lile giza nilipiga yowe kwa nje nilikutana na wadau nikazani ni wale wasela wa kwenye from kumbe ni sungu sungu tu kuanzia pale safari za usiku nilisitisha walahiVincenzo Jr nimeishia Season 2 episode ya 8 kwenye From, mzee nimeshindwaa..! naota kila siku wale viumbe, mpaka nimeacha kutazama ila bado nawaota kinachouma ni kuwa story inaendelezwa ndotoni na kuna character wanaongezeka, walaqhi' najuuuta..!!🥹
kabisa kaka humo kuna mikwaju mikali mnoHizo zitamfaa achague kama nne hivi kwa weekend hii atazoea tu. Dawa ya sumu ni sumu 😁😁😁
Unamkumusha tena huyo smiley wakati mwezako kasema anataka kuwasahau, 😅😅😅 yeye ndotoni kaishafika season 6, maana kasema akilala story inaendelea na hao jamaa wanazidi kuongezeka😆😆😆dah pole mwanangu kuna yule jini ana smile mda wote mule sio powa anatisha mno kuna siku nilikuwa nimetoka kariakoo saa 9 usiku nikaingia kigamboni saa 9 kama na 30 hivi aloo lile giza nilipiga yowe kwa nje nilikutana na wadau nikazani ni wale wasela wa kwenye from kumbe ni sungu sungu tu kuanzia pale safari za usiku nilisitisha walahi
series hii sio powa afu season 3 imeishia patamu mnoUnamkumusha tena huyo smiley wakati mwezako kasema anataka kuwasahau, 😅😅😅 yeye ndotoni kaishafika season 6, maana kasema akilala story inaendelea na hao jamaa wanazidi kuongezeka😆😆😆
Sana wasije wakatukalisha miaka miwili kusubiriaseries hii sio powa afu season 3 imeishia patamu mno