Series (Special thread)

Series (Special thread)

Leta screenshot
kila napotaka kudownload kaka inakuja iv batani ya kudownload haipo lakini kule series naziona mfano nikibonyeza episod 1 neno la kudownload halitokei kbs zaidi ya hizo video
546949274.jpg
 
kila napotaka kudownload kaka inakuja iv batani ya kudownload haipo lakini kule series naziona mfano nikibonyeza episod 1 neno la kudownload halitokei kbs zaidi ya hizo videoView attachment 3348881
Bofya hapo start verification utakuwa na clivks kama tatu au nne utaona link inaji generate tayari kwa kudownload. Ukifanikiwa unambie ukikwama unambie very simple
 
Hakuna source yyt ya uhakika inayosema kwamba extraction 3 inatoka mwaka huu hata ukiangalia ile table ya movie/ series za NETFLIX zinazotoka mwaka huu hawajaiweka
Exactly 💯 maana walizindua ile kampeni ya tudum na hawakuiweka kwenye mipango yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom