Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
SingleSeries or
SingleSeries or
Lets do our best,Lord will do the restHakuna anaye penda matatizo, we all wish for the better. Sema circumstances ndio kamzozo.
inatoka lini mkuu?Reacher S4
Cool, though note by Kuteseka sana sio ishara ya kufanikiwaLets do our best,Lord will do the rest
Mwakaniinatoka lini mkuu?
Last kingdomWakuu naombeni recommendation ya series kali... Iwe na episode kuanzia 8.
Pia naombeni link ya kupakua series ya Dark Season 2
Nishaicheki kitambo sana nataka mpya mpya za 2019-2025Last kingdom
FHD? NILISHUSHA MOJA NIKAKUTA NI UCHAFU TUHii na sinners zote zipo online 😎
Series: BLACK OUT
Hii ni series ya kikorea ambayo Kuna jamaa anajikuta anahukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kusingiziwa kuwa amefanya mauaji wa watu wawili bahati mbaya huyo jamaa Hana kumbukumbu yoyote ya tukio zima la uuaji lilikuaje? na lilifanywa na Nani? na kwasababu zipi? kiasi umefanya kushindwa kujitetea na kesi yake. Baada ya kutoka jela anatafuta ukweli mzima ukoje ili dhana ya kuonekana ni muuji iyondoke hapa ndipo balaa linapoanzia
Kali sana hii 🔥 🔥View attachment 3341326
Chuma cha 2015, wachimba madini walinusurika kufukiwa na kifusi chini ya ardhi futi 2000+.
Good reccomendationLast kingdom
Ukishamaliza kushusha hicho chuma cha 0Z uje utupe mrejeshoLori la WI-FI limepata ajali mtaani kwetu watu wanajichotea mimuvie tu. Ngoj nianze na hii balckout movie halafu nitakuja kwenye hiyo seriesView attachment 3341947View attachment 3341948
Basi Sikiliza tu usiangalie 😁😁😁 au angalia movie nyingi za kutisha ili uzoeeVincenzo Jr nimeishia Season 2 episode ya 8 kwenye From, mzee nimeshindwaa..! naota kila siku wale viumbe, mpaka nimeacha kutazama ila bado nawaota kinachouma ni kuwa story inaendelezwa ndotoni na kuna character wanaongezeka, walaqhi' najuuuta..!!🥹