Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii nasikia imevuja , mimi nimezidownload kuanzia ya kwanza ili nijikumbushe
 

Attachments

  • 20250517_225306.jpg
    20250517_225306.jpg
    37.9 KB · Views: 10
Hii nasikia imevuja , mimi nimezidownload kuanzia ya kwanza ili nijikumbushe
Nilicheck trailer yake Jana katika pita pita maana niliona ina viewers wengi balaa, ila najuuuuta sikuweza maliza hata sekunde kadhaa mbele, ina ukatili wa khali ya juu mno, na kukaza kote ila yakanishinda..!!🙌

Mnawezaje..??
 
Dah hii Fringe nilikuwa wapi siku zote kutoiona bonge moja la series. Kuna hii Fringe na Manifest, napenda Sana hii genre ya mystery na Sci-fi. Kama kuna nyingine za dizain hii naomba recommendation wazee
Kuna hizi 1. Dark matter
2. Under the Dome
3. The peripheral
4. Outer Range
5. 3 body problem
4. The returned, hii siyo sci fi inahusu watu waliokufa kwenye mji huo wanaanza kurudi ghafla mmoja mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom