Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nishakamata The Night Agent Season 2 inipotezee stress za Arsenal kwa weekend hii

1746209450815.png
 
SILO season 2 wameshamaliza kushoot , matarajio mwakani moja ya plot watatuonesha matukio ya nyuma kabla ya SILO kama walivyoishia kwenye season 2
Nahisi itakuwa episode nzima wakielezea kilichotoke,
kama kwenye the 100 kama ushaiona una kumbuka ile episode walionyesha kabla ya dunia kuisha na jinsi lugha ya grounders ilivyotengenezwa, na wale makamanda walivyoanza.
 
Nilikuwa sijaipakua hii LAST Of Us Season 2

Nimekuja kucheki kumbe mjomba JOEL kakata moto dahh😥

nimejikuta kumchukia sana ABBY na genge lake atakachokipata atasimulia
 
Series: BLACK OUT

Hii ni series ya kikorea ambayo Kuna jamaa anajikuta anahukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kusingiziwa kuwa amefanya mauaji wa watu wawili bahati mbaya huyo jamaa Hana kumbukumbu yoyote ya tukio zima la uuaji lilikuaje? na lilifanywa na Nani? na kwasababu zipi? kiasi umefanya kushindwa kujitetea na kesi yake. Baada ya kutoka jela anatafuta ukweli mzima ukoje ili dhana ya kuonekana ni muuji iyondoke hapa ndipo balaa linapoanzia
 
Ngoja niidownload hii 😎
 
Nikioshaona korea tu, huko kwengine simalizii kusoma..

Mimi nishajiwekea utaratibu series/movie yoyote ya kikorea siangalii hata iwe na rate ya 10/10.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom