Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mi mvivu wa kutumia VPN NGOMA INA LOAD TU
Screenshot_20250524-085904.png
1738430637004.jpg
 
Mbona ni nzuri tu😀😀
mbona ni nzuri tu bwashee
Movie kama ile haipaswi kuwa ndefu.

Niliifurahia mwanzoni, niliamini itakuwa fupi kama movie zingine za aina hiyo mfano Alice in the Borderland, All of us are dead, Hellbound...

Nikashangaa wanarefusha muundo, mpaka msimu wa 3 wanatuzungusha tu...
 
ni kweli season 1 na 2 wamezunguka mno ila me naona huenda ni sehemu ya story au labda wanapenda ziwe season nyingi 😆😆 ila alice mimi mpaka sasa hivi sijaelewa ile ilikuwa ni ndoto au walienda kweli, na kama ni ndoto season 3 itakuaje watarudi kwenye ndoto au mpaka sasa bado wapo kwenye game ila hawajui tu
 
Kwahiyo humu wote tunasubiri vya bure hamna aliyeenda kuangalia mission impossible mbona hamuiongelei?

watu wapo theater mkuu tupo sisi tu 😄😄
😂😂😂
Ngoja tusubiri mirejesho ya 'ni kali balaa' ama 'wamezingua kinoma', ndiyo tutajua tupo pamoja ama wengine ni wasindikizaji wenzetu..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom