Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Una lipremio la kumrudisha mtoto mzuri usiku ukiingia??
Mapema tu mlimani, ngoja nimtafute mdada mmoja chizi movie chapš
Mapema tu mlimani, ngoja nimtafute mdada mmoja chizi movie chapš
Kama ni forester nawaombeni vijana msimtongoze shemeji yenu yupo dar wiki hii anaikubali sana hiyo chumaUpo mtaani kwangu Kabisa nakupitia hapo tukaenjoy ukiona Subaru nyeupe Ina zagaa zagaa ndio Mimi huyo šš
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, Sina gari au kiwanja mkuu.Una lipremio la kumrudisha mtoto mzuri usiku ukiingia??
Mwendo wa bajaji tuMimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, Sina gari au kiwanja mkuu.
Dah mkuu hata bajaji kipengele, mi natembeaga kwa mguu tu.Mwendo wa bajaji tu
Hata mguu kipengele ,wewe huwa unapotea kimiujizaDah mkuu hata bajaji kipengele, mi natembeaga kwa mguu tu.
Ko mkuu ume amua kuni tukana!Hata mguu kipengele ,wewe huwa unapotea kimiujiza
degree yangu ya unafiki niliichukulia madagascar chifuKo mkuu ume amua kuni tukana!
Sasa hapo mi nime kuletea unafiki upi?, maana nime jibu sina chochote au makosa ?degree yangu ya unafiki niliichukulia madagascar chifu
Kwamba hata baJaji huwez kuafford...usafiri wa kulipia 500/=ĀæSasa hapo mi nime kuletea unafiki upi?, maana nime jibu sina chochote au makosa ?
Expectations zina kumsumbua, just because you can afford it. It doesn't mean anyone else can do it too.Kwamba hata baJaji huwez kuafford...usafiri wa kulipia 500/=Āæ
??
Usipende kujiombea mabaya chiefExpectations zina kumsumbua, just because you can afford it. It doesn't mean anyone else can do it too.
Hakuna anaye penda matatizo, we all wish for the better. Sema circumstances ndio kamzozo.Usipende kujiombea mabaya chief
Series orJakal
Recruit
Night agent
Nine body at mexican morgue
Bindsman
Series orBlack site
G40/2
Lost city
Havoc
Working man
NdioSeries or
Shukran sana mkuuNdio