Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,501
- 29,214
๐๐๐๐Wale jamaa walinifanya niache kwenda kazini saa 10 za usiku maana huku kigamboni Kila kona misitu ๐๐ unaweza ukakuta mti njiani baadae ukaingia kile Kijiji ukamuona Boyd anapiga kengele aisee
๐๐๐๐Au upo zako kwenye gari unaona njiani gogo la mti barabarani ๐๐
au ile unaangalia horror movie mwenyewe usiku kisha uzime taa uone kivuli chako mwenyewe, ama usikie mlio huuelewi..!!๐